GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais Samia Suluhu Hassan amekataa daraja kuitwa jina lake, akisema ni vema liitwe Mama Maria, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya kazi ya kupigania uhuru wa Tanzania.
Awali, mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege (CCM) alimuomba Rais Samia akubali daraja lililojengwa jimboni humo liitwe jina lake kama sehemu ya shukurani kwa kuidhinisha ujenzi huo uliogharimu Sh5.5 bilioni.
Hayo yamesemwa leo Julai 16, 2024 kwenye ziara ya Rais Samia mkoani Rukwa.
Rais Samia amezindua barabara inayoziunganisha Sumbawanga, Matai na Kasanga.
Chanzo: mwananchi_official
Ni matumaini yangu sasa kuwa hata na Vitu vingine akiombwa kwa Watu Kujipendekeza sana Kwake atavikataa pia.