Nahisi nimeambukizwa corona

Nahisi nimeambukizwa corona

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Week yote hii napata shida kuhema yaani engine yangu ya mapafu nahisi Kama ime block halafu kwenye Koo Kuna uzito flan Kama vile mafuta ya mboga yameganda.kifua kimekuwa kizito lakini nawaahidi sikati tamaa kikubwa tu nimeshtuka nimeona niache Kwanza pombe niangalie afya yangu kwa ukaribu.kama mkiona kimya sijapost uzi kwa Zaid ya Mwezi Basi mjue nilisha dead.
 
Kesho naanza kutumia hii kitu huenda nikaponyoka kwenye hili dudu lililoitesa Dunia na kutufanya tupate shida kupata oksijeni.jamani corona ipo chukueni tahadhari
JPEG_20210228_164041_292977324190536807.jpg
 
Kesho naanza kutumia hii kitu huenda nikaponyoka kwenye hili dudu lililoitesa Dunia na kutufanya tupate shida kupata oksijeni.jamani corona ipo chukueni tahadhari View attachment 1713995
Tiba namba moja ya Corona ni mazoezi ya mapafu na tiba namba mbili ni kwenda hospitali.Ukikosea ukaanza kutumia hizi dawa za maruwani za serekali akina kujifukizia sijui Covidol unaenda na maji fasta sana.
 
Week yote hii napata shida kuhema yaani engine yangu ya mapafu nahisi Kama ime block halafu kwenye Koo Kuna uzito flan Kama vile mafuta ya mboga yameganda.kifua kimekuwa kizito lakini nawaahidi sikati tamaa kikubwa tu nimeshtuka nimeona niache Kwanza pombe niangalie afya yangu kwa ukaribu.kama mkiona kimya sijapost uzi kwa Zaid ya Mwezi Basi mjue nilisha dead.
Mzeee jifukize na limao la kutosha naimani utapona !!
 
Back
Top Bottom