ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Week yote hii napata shida kuhema yaani engine yangu ya mapafu nahisi Kama ime block halafu kwenye Koo Kuna uzito flan Kama vile mafuta ya mboga yameganda.kifua kimekuwa kizito lakini nawaahidi sikati tamaa kikubwa tu nimeshtuka nimeona niache Kwanza pombe niangalie afya yangu kwa ukaribu.kama mkiona kimya sijapost uzi kwa Zaid ya Mwezi Basi mjue nilisha dead.