Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

We unaomba ushauri wa nini huku unajua fika kua inatakiwa upime uwe na uhakika. Afu usikae na kujipa moyo dawa ya ukimwi imekaribia au imeshapatikana, hayo uliyoandika hapo Berlin patient na Mississipi mtoto aliyetibiwa ukimwi si kweli.. Afu we si mtoto, yule mtoto alizaliwa na ukimwi n hapo hapo wakaanza treatment na wakampa dozi kali sana ya dawa, virusi vilipotea ndio ila baada ya siku nyingi sana ilikuja kuonekana still ni muathirika. na Germany jamaa wawili walifanyiwa testing, wakapimwa kwa muda wa wiki hadi nane wakawa ukimwi hauko detected ila still walikua waathirika, after a long time hali ikajirudia palepale.
Labda siku moja dawa itapatikana ndio, ila unavosoma articles kwenye internet kuhusu dawa ya ukimwi na ukasoma bila kumaliza au ukasoma heading peke yake, kua unajitahidi kufuatilia kwa undani.
Nenda kapime, waweza usiwe na ukimwi, symptoms za ukimwi zinaendana na symptoms za magonjwa mbalimbali mengi tu. ukikaa na uoga uoga ati umeambukizwa unakonda kwa kitu usichokijua, na unajuaje kama ni ugojwa ambao ungewahi kupima ungetibiwa... Nenda hospital wacha kelele, hakuna vipimo vya ukimwi JF
 
pole sana ,,,,,,,,,,,

pamoja na pole nina swali , huyo dokta aliyekupa PEP alikupatia kwa creteria gani?

Mkuu unaweza kuelimisha jamii khs hiyo PEP nikitu gani? Inapatikanaje kwa atakaekutana na tatizo km la mleta mada!
 
Hallow wana JF, Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu..
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend wangu & recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..hivi karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..akaomba tuonane japo tuongee, nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa anapajua,,kafika home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected sex..i was raped na mwanamke,,nlilia sana that day nikapanga safar kwnda kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),,ucku huo yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..nlimwambia my friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,, nkafuatilia zile dalili na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3 months...i knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta, najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish) only God knows haya majaribu yana maana gani,,
Nimechanganykiwa naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii ishu.

huwezi kuhisi una dalili za ukimwi kwa siku moja ,hiyo ni tatizo la kisaikolojia lilikukuta baada ya ku do na hii ina mkuta kila mwanaume akisex na mwanamke ambae hamuamini ,pili huyo mchumba wako unamuamini inawezekana na yeye pia anaweza kuleta magonjwa nyumbani usimuhukumu huyu mwingine, tatu wewe ni mwanaume kama umeweza kubakwa na demu kinguvu na sio kiushawishi utaweza kukaa jela kweli si watakufanya chambo, siku nyingine usiwaambie wanaume wenzako eti ulilia sana hizo ni tabia za kike sisi wanaume hata ukifiwa na mwanao tunajikaza, na mwisho anza na mchumba wako akapime then wewe na huyo malaya mwingine na wote mkiwa wazima achana nae huyo malaya na muelezo mkeo yaliyokukuta lakini mdanganye usiseme umesex na huyo demu ,sema anakulazimisha wewe hutaki so hata kama huyo demu akimpigia simu mkeo itakuwa too late
 
Kuna Jamaa alikuwa na demu wake kwa 3yrs mara demu wake akaanza kuumwa wakahangaika sana baada ya kifuatilia ikaonekana demu kaathirika. Jamaa hakupima wakamuuguza demu mpaka alipofariki. Baada ya mwaka jamaa akaanza kuumwa na kudevelop dalili zote za ngoma. Akapiga moyo konde na kwenda kupima akakutwa ni mzima, hajaathirika so kilichokuwa kinamfanya kuumwa na kuwa kama muathirika ni psychological effect ya kuconfirm kuwa kaathirika kabla ya kupima, jibu ni moja kapime na kubaliana na matokeo yeyote hapo sio mwisho wa maisha.
 
Uuh,polehhh sana jamani..yn hata nmeishiwa cha kushauri,kapime tu and ishi kwa matumaini,and inawezekana huna pia hyo ngoma
 
Unaweza kuwa mwoga kumbe mwenzi wako upande wa pili naye analegeza.Wanawake huwa wajanja sana huwa hawasemi yoye wanayofanya,wanachagua ya kusema mara nyingi.
Hivyo ondoa shaka kapime,kama una maabukizi endelea kuishi kwa matumaini na utapata rafiki mwingine atakaye kukubali kulingana na hali yako.Usiishi kwa mashaka maana unaweza kupata madhara zaidi kiafya.
 
Mara nyingi nimewahi kuwaambia Vijana wanawake huwa tunawadharau sana! Lkn kiukweli Mwanamke anapodhamiria kupata anachotaka hajawahi kushindwa Atakosa kikubwa lkn kdg chakuilidhisha nafsi yake atapata! Tunaweza kumlaumu huyu ndg kwamba kwanini hakukataa lkn Jiulize ungekuwa ww ndo uko kwenye Stuation km hiyo kumbuka na jamaa kasema anaamini ktk uaminif wa mapenz bt amechemka cc 2liowanaume cvyema kumlaumu chakufanya nikumhamasisha aende kupima km anao ajikubali Maisha yandelee lkn Kumponda cdhani km vyema
 
Mara nyingi nimewahi kuwaambia Vijana wanawake huwa tunawadharau sana! Lkn kiukweli Mwanamke anapodhamiria kupata anachotaka hajawahi kushindwa Atakosa kikubwa lkn kdg chakuilidhisha nafsi yake atapata! Tunaweza kumlaumu huyu ndg kwamba kwanini hakukataa lkn Jiulize ungekuwa ww ndo uko kwenye Stuation km hiyo kumbuka na jamaa kasema anaamini ktk uaminif wa mapenz bt amechemka cc 2liowanaume cvyema kumlaumu chakufanya nikumhamasisha aende kupima km anao ajikubali Maisha yandelee lkn Kumponda cdhani km vyema
 
Mara nyingi nimewahi kuwaambia Vijana wanawake huwa tunawadharau sana! Lkn kiukweli Mwanamke anapodhamiria kupata anachotaka hajawahi kushindwa Atakosa kikubwa lkn kdg chakuilidhisha nafsi yake atapata! Tunaweza kumlaumu huyu ndg kwamba kwanini hakukataa lkn Jiulize ungekuwa ww ndo uko kwenye Stuation km hiyo kumbuka na jamaa kasema anaamini ktk uaminif wa mapenz bt amechemka cc 2liowanaume cvyema kumlaumu chakufanya nikumhamasisha aende kupima km anao ajikubali Maisha yandelee lkn Kumponda cdhani km vyema
 
Mara nyingi nimewahi kuwaambia Vijana wanawake huwa tunawadharau sana! Lkn kiukweli Mwanamke anapodhamiria kupata anachotaka hajawahi kushindwa Atakosa kikubwa lkn kdg chakuilidhisha nafsi yake atapata! Tunaweza kumlaumu huyu ndg kwamba kwanini hakukataa lkn Jiulize ungekuwa ww ndo uko kwenye Stuation km hiyo kumbuka na jamaa kasema anaamini ktk uaminif wa mapenz bt amechemka cc 2liowanaume cvyema kumlaumu chakufanya nikumhamasisha aende kupima km anao ajikubali Maisha yandelee lkn Kumponda cdhani km vyema
 
Mara nyingi nimewahi kuwaambia Vijana wanawake huwa tunawadharau sana! Lkn kiukweli Mwanamke anapodhamiria kupata anachotaka hajawahi kushindwa Atakosa kikubwa lkn kdg chakuilidhisha nafsi yake atapata! Tunaweza kumlaumu huyu ndg kwamba kwanini hakukataa lkn Jiulize ungekuwa ww ndo uko kwenye Stuation km hiyo kumbuka na jamaa kasema anaamini ktk uaminif wa mapenz bt amechemka cc 2liowanaume cvyema kumlaumu chakufanya nikumhamasisha aende kupima km anao ajikubali Maisha yandelee lkn Kumponda cdhani km vyema
 
Hallow wana JF, Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu..
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend wangu & recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..hivi karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..akaomba tuonane japo tuongee, nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa anapajua,,kafika home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected sex..i was raped na mwanamke,,nlilia sana that day nikapanga safar kwnda kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),,ucku huo yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..nlimwambia my friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,, nkafuatilia zile dalili na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3 months...i knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta, najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish) only God knows haya majaribu yana maana gani,,
Nimechanganykiwa naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii ishu.

atakaekuambukiza ngoma ni huyo demu wako,unaemuamini ... Ukitaka kuamini,jaribu kujifanya umemsamehe huyo demu aliekubaka na unataka muendelee ila mkapime ngoma kwanza... Uone kama atakataa! Mi naamini ataenda ila demu wako ndio atakataa labada awe ameshapima,karibuni,anajiamini... Never trust a woman!
 
Pole kwa mkasa,ushauri ni kwenda kupima tu hapo.lla hilo swala la mwanaume kubakwa umetudanganya,mwanaume habakwi.Labda useme amekushawishi kufanya hilo tendo (amekutega),mwanaume akiwa katika hali ya msongo au kama hivyo ulivyokuwa katika hali ya kuforcewa kufanya ngono nazani hata dudu inaweza isisimame

Mdau nakubaliana nawe sana.mwanaume kubakwa utata.
 
Kamanda ukimwi hauambukizwi kirahisi hivyo na kama alikulazimisha basi utakuwa ulipiga kimoko tu.so hata michubuko sio kivile.
Kinachokuumiza sasa ni mawazo tu.pole sana
 
Kama sio made up story.. naomba nikupe pole sana ndugu yangu kwa kuwa hata mimi naelewa utakuwa na hali gani kwa sasa. Uamuzi wa busara kwako ni kwenda kupima kwa kuwa ndio njia pekee itakayokupa uhuru na amani. Kwa umri wako na hatua uliofikia nafahamu hakuna mtu atakaekulaumu kwa kuwa hukupenda iwe hivyo ila umelazimishwa kuwa na pia pia kwa sisi tunaoamini uwepo wa mungu tunaamini mungu yu afahamu sononeka lako.

Kuna wakati nilipitapita katika mazingira magumu sana ya mahusiano na mimi niliogopa kabisa kupima ila niliamua kumba macho na kufanya vipimo na gud thing majibu yalikuja on my wishes na nikaapa kutojitumbukiza kwenye majanga tena. kapime kaka na utakuwa huru regardless of result zitakavyokuwa.

Hallow wana JF, Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu..
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend wangu & recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..hivi karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..akaomba tuonane japo tuongee, nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa anapajua,,kafika home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected sex..i was raped na mwanamke,,nlilia sana that day nikapanga safar kwnda kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),,ucku huo yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..nlimwambia my friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,, nkafuatilia zile dalili na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3 months...i knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta, najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish) only God knows haya majaribu yana maana gani,,
Nimechanganykiwa naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii ishu.
 
Vp mkuu ulishapima au uligahir..mbona hukutupa feedback bana vibayaaa ivooo ishapita miez sasa.
 
Hivi mwanaume anabakwaaje, maana mpaka dudu isimame sasa ilisimamaje bila kutaka wewe anyway usiogope kupima nenda kapime na ujilinde tenaa,ninaamini hujapata HIV
sema Amin
 
Pole sana mkuu wala usihofu achana na hofu utakufa kabla ya siku zako,cha muhimu nenda kapime uwe na uhakika unajua unaweza kufa kwa hofu kumbe huna hata huo Ukimwi wanaopima unafikiri wajinga au wanapima kwa sababu wanajitambua najua sio rahisi hata kidogo lakini alimradi una ujasiri wa kupokea majibu nenda kapime ujue ukweli ili usimuumize umpendae na kama ikigundulika unao uwe wazi kwa umpendae huo ndo upendo wa kweli,inawezekana kabisa huna maana ukikutana na mwenye HIV sio lazima uupate maana sometimes kuna mazingira yana favor kutokuambukizwa afterall una hofu huku ukiwa huna uhakika kama huyo uliyetembea naye anao,BE A MAN Nadhani unaelewa namaanisha nini UTI ni magonjwa tu kama mengine.
 
Back
Top Bottom