NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
We unaomba ushauri wa nini huku unajua fika kua inatakiwa upime uwe na uhakika. Afu usikae na kujipa moyo dawa ya ukimwi imekaribia au imeshapatikana, hayo uliyoandika hapo Berlin patient na Mississipi mtoto aliyetibiwa ukimwi si kweli.. Afu we si mtoto, yule mtoto alizaliwa na ukimwi n hapo hapo wakaanza treatment na wakampa dozi kali sana ya dawa, virusi vilipotea ndio ila baada ya siku nyingi sana ilikuja kuonekana still ni muathirika. na Germany jamaa wawili walifanyiwa testing, wakapimwa kwa muda wa wiki hadi nane wakawa ukimwi hauko detected ila still walikua waathirika, after a long time hali ikajirudia palepale.
Labda siku moja dawa itapatikana ndio, ila unavosoma articles kwenye internet kuhusu dawa ya ukimwi na ukasoma bila kumaliza au ukasoma heading peke yake, kua unajitahidi kufuatilia kwa undani.
Nenda kapime, waweza usiwe na ukimwi, symptoms za ukimwi zinaendana na symptoms za magonjwa mbalimbali mengi tu. ukikaa na uoga uoga ati umeambukizwa unakonda kwa kitu usichokijua, na unajuaje kama ni ugojwa ambao ungewahi kupima ungetibiwa... Nenda hospital wacha kelele, hakuna vipimo vya ukimwi JF