Nahisi nimeambukizwa virusi vya UKIMWI

Yaani hiyo ndio dalili namba moja ya VVU...
Mara nyingi koo huwasha sana pia hata ukila kilakitu unaona kama n kero Tu unatamani kusinzia huwezi aisee...!!!

Acha uboya kapime, hakuna dalili ya VVu baada ya wiki[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Na mimi ndo hvo hvo asubuhi na usiku mchana kama linapoa hivi
Yaah no hali ya kupita tu kama mafua..

Hivi huwa hamziamini kinga za miili yenu hadi magonjwa ya maimu mtu anapapatika as if anakufa.
Mtu mafua yanampeleka hospitali kadhaa ati anatafuta tiba aloo.
 
Dah, nina stress kinoma.

Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi, hata nikila chakula sisikii maumivu. Sina dalili nyingine tena zaidi.

Je, ni moja ya dalili za maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?
Hahaha
 
Kapime ujuwe kihakika. Ukimwi sio mwisho wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…