Nahisi nimeambukizwa virusi vya UKIMWI

Nahisi nimeambukizwa virusi vya UKIMWI

Yaani hiyo ndio dalili namba moja ya VVU...
Mara nyingi koo huwasha sana pia hata ukila kilakitu unaona kama n kero Tu unatamani kusinzia huwezi aisee...!!!

Acha uboya kapime, hakuna dalili ya VVu baada ya wiki[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Na mimi ndo hvo hvo asubuhi na usiku mchana kama linapoa hivi
Yaah no hali ya kupita tu kama mafua..

Hivi huwa hamziamini kinga za miili yenu hadi magonjwa ya maimu mtu anapapatika as if anakufa.
Mtu mafua yanampeleka hospitali kadhaa ati anatafuta tiba aloo.
 
Dah, nina stress kinoma.

Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi, hata nikila chakula sisikii maumivu. Sina dalili nyingine tena zaidi.

Je, ni moja ya dalili za maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?
Hahaha
 
Aisee chief ogopa sana stress za kudhani umeambukizwa, dah nilipata maralia hapo hapo, kwenda kupima nikakutwa na typod, sijakaa sawa uzito ukaanza kushuka, hilo halijaisha nikawa nahisi homa nikajua chalii yenu hapa nimeumaliza mwendo, nikaandika uzi humu wakanishauri vema wengine wakaniongezea vitisho kupima nako naogopa.

Kubwa zaidi nikabackup mihondomolo yangu nikagundua kuna ngono zembe nishafanya kama mara tatu daaaaah weweeeeeeeeeeee.

Ila nikaja kujipa ujasiri wa kupima dah sikuamini kama kipimo kimeonyesha negative, nilifurahi na hofu kimtindo nikarudia tena kama mara tano sehemu tofauti majibu ni yale yale negative nikasema asante muumba.

Hofu ni mbaya sana.

Nilichofanya ni kukata mawasiliano yote na wanawake ambao niliona hawa sio sawa kuendelea nao.
 
Nidalili mkuu😭 dah Kuna jamaa angu tulikuwa tunaishi nae aliukwaa hivi hivi Koo kulikuwa linakauka baada ya mda likaweka vidonda 😭😭😭 sema jamaa aliapa hatatumia chochote baada ya kugundulika nasikitika tukisha mpoteza 😭😭😭😭😭
 
Dah, nina stress kinoma.

Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi, hata nikila chakula sisikii maumivu. Sina dalili nyingine tena zaidi.

Je, ni moja ya dalili za maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?
Kapime ujuwe kihakika. Ukimwi sio mwisho wa maisha.
 
Back
Top Bottom