Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Jitahidi kula pia kaa mbali na vilevi ukimwi hauambukizwi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu, ukimwandaa atafanya maandalizi ya kupandisha cd4 hadi virusi wasionekaneKupima vizuri naona ni kwa kumshtukiza mtu, ukitoa taarifa unampa nafasi ya kujiandaa.
Nmejifunza kitu mkuu shukrani.Kabisa Mkuu, ukimwandaa atafanya maandalizi ya kupandisha cd4 hadi virusi wasionekane
Yaah no hali ya kupita tu kama mafua..Na mimi ndo hvo hvo asubuhi na usiku mchana kama linapoa hivi
Tuendelee kuchukua tahadhaliNmejifunza kitu mkuu shukrani.
Hakika mkuu afya ni maliTuendelee kuchukua tahadhali
Hakika Mkuu 🙏Hakika mkuu afya ni mali
Mie sitoi **** ovyoo.ovyoo nahitaji nini wewe ndio unasema watu humu wanao unajisahau wewe humjui mtu unasema unayooo eh ulimpima na kitu ganiSiyo mimi ni nyie
Njoo nikwambie kituMie sitoi **** ovyoo.ovyoo nahitaji nini wewe ndio unasema watu humu wanao unajisahau wewe humjui mtu unasema unayooo eh ulimpima na kitu gani
HahahaDah, nina stress kinoma.
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi, hata nikila chakula sisikii maumivu. Sina dalili nyingine tena zaidi.
Je, ni moja ya dalili za maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?
Aisee chief ogopa sana stress za kudhani umeambukizwa, dah nilipata maralia hapo hapo, kwenda kupima nikakutwa na typod, sijakaa sawa uzito ukaanza kushuka, hilo halijaisha nikawa nahisi homa nikajua chalii yenu hapa nimeumaliza mwendo, nikaandika uzi humu wakanishauri vema wengine wakaniongezea vitisho kupima nako naogopa.
Kubwa zaidi nikabackup mihondomolo yangu nikagundua kuna ngono zembe nishafanya kama mara tatu daaaaah weweeeeeeeeeeee.
Ila nikaja kujipa ujasiri wa kupima dah sikuamini kama kipimo kimeonyesha negative, nilifurahi na hofu kimtindo nikarudia tena kama mara tano sehemu tofauti majibu ni yale yale negative nikasema asante muumba.
Hofu ni mbaya sana.
Nilichofanya ni kukata mawasiliano yote na wanawake ambao niliona hawa sio sawa kuendelea nao.
Nidalili mkuu😭 dah Kuna jamaa angu tulikuwa tunaishi nae aliukwaa hivi hivi Koo kulikuwa linakauka baada ya mda likaweka vidonda 😭😭😭 sema jamaa aliapa hatatumia chochote baada ya kugundulika nasikitika tukisha mpoteza 😭😭😭😭😭
Hii vipi tena
Ngono uzembe na ulimbukeni unamaliza wengi...
MmhNenda kapime tu ujue uishije
Kapime ujuwe kihakika. Ukimwi sio mwisho wa maisha.Dah, nina stress kinoma.
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi, hata nikila chakula sisikii maumivu. Sina dalili nyingine tena zaidi.
Je, ni moja ya dalili za maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?
Zee la kufukua nyuzi za zamani