Nahisi nimeathirika na VVU

Kuna dawa ulitakiwa uitumie kabla ya masaa 72 tangu usex,
 
dogo kwanza kapime!! ukiwa positive usimaind sana still nafasi ya kuishi unayo cha muhimu upate ushauri nasaha!! halafu uwe muwazi ili usiusambaze kwa wengine!! la mwisho rudi kwa mola wako dunia ni mapito kwa sote kila mtu ataondoka kinamna yake! ajali, maradhi, usingizini, nk
 
Lengo lako hasa ni nini???
Tusiende ambiance???
Au mademu wa ambiance ni 10k ndio bei Yao??


kuwa Imara we ukimwi si kawaida tu...
 
Vijana wa Millennial bana, we mtu humujui, ndio mmekutana tu huko club; yaani tayari umeshamuamini mpaka anakuvua pichu? Halafu unapiga kavu, thank GOD; I'm an old school guy!
 
Mkuu hujasema ni bia za bei gani, hebu kafanye vzuri calculations then uje tukushauri. Watu wanatoka dar wanafuata k mwanza.
 
Cku Ukipata ukimwi ndio utamuona domo zege na mpiga nyeto ni bonge la mjanja hapa mjini!....he he hee
Yaani we acha tuu watu hawajui Aise domo zege na nyeto inaepusha meng
 
Mwanangu mpaka umenitamanisha k'nyama ...

Ila kapime kwanza mshikaji wangu usikate tamaa kwa sababu huna hata uhakika ni dhana tu !

Au ukijiiangalia una dalili zote kama Ferooz ?
 
duh pole mwanagu but wazazi home hawali ili ww usome ili uje uwasaidie sasa unafanya huo ujinga looh
kweli tuliosoma shule za kata tukifika mjini huwa hatukamatiki
kumbuka mkuu mchuma janga hula na wakwao
 


Kijana una akili kweli wewe, yaani unamlipa mwanamke kwa starehe yenu wote? Sikazi ni wewe peke ndiye uliyetokwa na jasho la mk.unduni huku yeye akihesabu nyota au akihesabu mabati, eti unamlipa, for what? Nyie vijana mtatudhalilisha wenzenu wenye msimamo.
 
Niim ngumu sana kunusurika kwa mazingira kama hayo mkuu, vipi hamkupanda kule juu Annex?
 
Muombe mungu
soma biblia na hata ushinde makanisani ukisali. Maana hakuna namna mkuu.
 
vipi tigo ulikula mkuu!
in mpoki's voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…