mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 685
Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari
Juzi nilikuwa ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana flan hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata
Mm nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo(mule mule ndani lakini)
Sasa bhana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye mbooo yangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake
Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure ,la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu
Sasa bhana wakuuu ,utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane nae kitandani
Bei yake alinichaji elfu 15
elfu 5 gesti ,10 ya kwake
Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta saana yani kwa nini nilifanya vile
Roho inaaniuma yani nimenunua ukimwi kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote
Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani
NB:Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
vipi mkuu panatisha sana au?Una asilimia nyingi sana za kutokuwa na ukimwi, pengine 98%, ila mtu unaendaje pale Ambieance? wewe kapime, kama huna usirudi pale tena. Mbona kuna mahali pengi tu pa kistaarabu? mi shawahi kupita hapo ila hata kusimama hapana... haifai. Jilazimishe tu ukapime.
Nilikuwa naye mshkaji namshanga hajanitaja hiyo hela ni ya kanjibahi(Betting) aliona akatoe hasira baada ya kipigo cha mieziUzi wako haujakamilika. Halafu unaacha kusoma unaenda ambiance?? Hii ni laana ya wazazi, wanajibana hawali vizuri wewe unakuja mjini kununulia wanawake bia? Kweeeeli?
Fuata hilo.soma.. achan n kufikiria izo mamb za VVU ,fany kam hakun kilicho tokea.
Hio ndio faida ya uzinzi!...unazinzika alafu utegemee huruma za Mungu?Kuna mambo usiwe unaleta mzaha nayo nahisi kama umeamua kumkufuru Muumba.
Angalia usije ukatangulia wewe ukamwacha jamaa anadunda kitaa kwa miaka 30 mbele na zaidi.
Ngoja ukunase ndio utuambie unaogopa au ni wa kawaida.hv kuna watu had leo wanaogopa ukimwi... poleni ila upande wangu naona ukimwi kwa sasa ni ugonjwa wa kawaida sana wala hauniumizi kichwa... sijapima na sijihangaishi kupima...!
yaan ukimwi unitishie aman.. sahau mkuu.. hapa ntaumia kama nikikutwa na TB au TEZI DUME hayo magonjwa sio mchezo mchezo... ila ukimwi.. si kama mafua tu..!Ngoja ukunase ndio utuambie unaogopa au ni wa kawaida.