Nahisi nimeathirika na VVU

Nahisi nimeathirika na VVU

Na Trump kasitisha misaada ya dawa, ila kubali ukapime tu, hiyo ni ajali ya kawaida sana
 
Vipimo vya maabara vinatambua HIV yenye wiki tatu na zaid na sio pungufu Ila kipo kinaitwa PCR bei yake mkuu hatar hata kama umeupata Leo kitatoa majibu kama umeupata. Ushaur wa bure we tulia kwanza mpaka miezi mita tatu ukapime au nenda kapime ucje kuwa wew ndo umekaambukiza virus vya HIV then usubir miez mitatu ndo uhakikishe
 
Hujaathirika bwana,, kwani ndiyo mara yako ya kwanza kugegeda? Stress za nini wewe?
 
Una asilimia nyingi sana za kutokuwa na ukimwi, pengine 98%, ila mtu unaendaje pale Ambieance? wewe kapime, kama huna usirudi pale tena. Mbona kuna mahali pengi tu pa kistaarabu? mi shawahi kupita hapo ila hata kusimama hapana... haifai. Jilazimishe tu ukapime.

Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari


Juzi nilikuwa ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana flan hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata

Mm nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo(mule mule ndani lakini)


Sasa bhana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye mbooo yangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake


Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure ,la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu


Sasa bhana wakuuu ,utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane nae kitandani

Bei yake alinichaji elfu 15

elfu 5 gesti ,10 ya kwake


Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta saana yani kwa nini nilifanya vile

Roho inaaniuma yani nimenunua ukimwi kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote


Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani



NB:Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
 
Una asilimia nyingi sana za kutokuwa na ukimwi, pengine 98%, ila mtu unaendaje pale Ambieance? wewe kapime, kama huna usirudi pale tena. Mbona kuna mahali pengi tu pa kistaarabu? mi shawahi kupita hapo ila hata kusimama hapana... haifai. Jilazimishe tu ukapime.
vipi mkuu panatisha sana au?
 
Sio ukilala na mwanamke mwenye vvu utakuwa umeambukizwa ,na kuamvukizwa ni kwa mara moja siyo rais na istoshe milichezeana hadi na huyo msichana akawa tayari yupo wet hivyo kama ulikwenda bao moja upo safe
 
hv kuna watu had leo wanaogopa ukimwi... poleni ila upande wangu naona ukimwi kwa sasa ni ugonjwa wa kawaida sana wala hauniumizi kichwa... sijapima na sijihangaishi kupima...!
 
Uzi wako haujakamilika. Halafu unaacha kusoma unaenda ambiance?? Hii ni laana ya wazazi, wanajibana hawali vizuri wewe unakuja mjini kununulia wanawake bia? Kweeeeli?
Nilikuwa naye mshkaji namshanga hajanitaja hiyo hela ni ya kanjibahi(Betting) aliona akatoe hasira baada ya kipigo cha miezi
 
Bar zote ujaziona mpaka unaenda ambiasi
Danguloni unao baba haina aja ata yakupima ww is affected
 
Kuna mambo usiwe unaleta mzaha nayo nahisi kama umeamua kumkufuru Muumba.

Angalia usije ukatangulia wewe ukamwacha jamaa anadunda kitaa kwa miaka 30 mbele na zaidi.
Hio ndio faida ya uzinzi!...unazinzika alafu utegemee huruma za Mungu?
 
hv kuna watu had leo wanaogopa ukimwi... poleni ila upande wangu naona ukimwi kwa sasa ni ugonjwa wa kawaida sana wala hauniumizi kichwa... sijapima na sijihangaishi kupima...!
Ngoja ukunase ndio utuambie unaogopa au ni wa kawaida.
 
Ngoja ukunase ndio utuambie unaogopa au ni wa kawaida.
yaan ukimwi unitishie aman.. sahau mkuu.. hapa ntaumia kama nikikutwa na TB au TEZI DUME hayo magonjwa sio mchezo mchezo... ila ukimwi.. si kama mafua tu..!
 
I feel you brother. Pole sana... Ila inabidi uwe jasiri na ukapime... Ili ujue muafaka... maana utakonda kwa msongo wa mawazo... haujui kama Huyo Dada kaukwaa au lah... May you find happiness , courage
and peace of mind within your heart.

Angalizo: Vijana wenzangu chezeni kwa step. If you can't use condom then abstain / be celibate. Majuto haya hua yanaumiza sana. A word is enough for the wise.
 
Back
Top Bottom