Nahisi nimeathirika na VVU

Nahisi nimeathirika na VVU

Uko watu walishapita sana, ukichomoka salama basi yu nenda kamtumainie bwana hakika hutarudia tena.
 
Dah,ushakufa kizembe!yaani jiulize wangapi wamepewa hiyo ya kijifunzia mpaka umeikuta wewe haina bei,imekuwa bwelele.
Hivi.K.kweli inauzwa elfu 10?,yaani ni rahisi kuliko bia nne ulizokunywa?
Ambiance ina miaka zaidibya 15 wakati wewe upobkwenu SHILATU,unakuja unaitiwa tu Mwalukangabkwa bei poa.
Ukayasahau na yale matangazo tuliyoyagharamia kwa bei kubwa pale chuoni kwenu"GRADUATE WITH"A",NOT HIV "
aaaagh hakika umekufabkizembe,salamu zisindikizwe na >DAZ NUNDAZ>KAMANDAAAAAAA.
 
Parapanda italia parapandaa!..parapanda italia parapandaaa,nae hr666 atakuwa amekwisha nyakuliwaa!...kwendaaaa,kumlaki bwana yesu mawinguniii.
(tuimbe sote kwa sauti)
 
Dah,ushakufa kizembe!yaani jiulize wangapi wamepewa hiyo ya kijifunzia mpaka umeikuta wewe haina bei,imekuwa bwelele.
Hivi.K.kweli inauzwa elfu 10?,yaani ni rahisi kuliko bia nne ulizokunywa?
Ambiance ina miaka zaidibya 15 wakati wewe upobkwenu SHILATU,unakuja unaitiwa tu Mwalukangabkwa bei poa.
Ukayasahau na yale matangazo tuliyoyagharamia kwa bei kubwa pale chuoni kwenu"GRADUATE WITH"A",NOT HIV "
aaaagh hakika umekufabkizembe,salamu zisindikizwe na >DAZ NUNDAZ>KAMANDAAAAAAA.
Acha kumtia woga jamaa hii situation imewatokea wengi hata Mimi uzuri jamaa ameshtuka na ameelewa amefanya kosa ni mpango Wa MUNGU kumrudisha kwenye mstari kijana wake

Mi naamini jamaa yuko safi kabisa sema akapime aondoe huo woga .

Kupima ni muhimu maisha yaendelee[emoji123]
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa starehe ulizozipata mana ni mda mrefu nimekua nikitafuta fursa kama hizo bila mafanikio, nadhani kwa mda ule hukujuta kabisa haya majuto ni mambo za kawaida tu relax fanya shughuli zako baada ya mda kapime na kama utakua umenusurika nakuhakikishia hiyo ndio itakua michezo yako,ya kudumu,
 
soma.. achan n kufikiria izo mamb za VVU ,fany kam hakun kilicho tokea.
Akapime tu ili ajue hali ya afya yake, akinusurika aachane kabisa na pombe. Ktk mazingira ya namna ile uwezekano wa kupata ngoma ni zaidi ya 50%.

Vv
 
Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari

Juzi nilikuwa ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana flan hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata

Mm nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo(mule mule ndani lakini)

Sasa bhana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye mbooo yangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake

Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure ,la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu

Sasa bhana wakuuu ,utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane nae kitandani

Bei yake alinichaji elfu 15

elfu 5 gesti ,10 ya kwake

Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta saana yani kwa nini nilifanya vile

Roho inaaniuma yani nimenunua ukimwi kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote

Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani

NB:Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
Sasa wee mkuu unazingua kweli we uliamini vipi kama una VVU jambo la muhimu pima kwanza alafu ukipata jibu ndo utapata mawazo mazuri
 
Kuna watu mna bahati sana aisee:-

Kwanza kupata hela ya beer mpaka ya kumwonga malaya alewe

Pili kupata UKIMWI, sio kila mtu mwenye bahati hizo eti.
hahahaha nimecheka sana..this is crazy
 
Kutoa ni "k" na kupata ni "k" ulitoa 15k na ukapewa "k"..baada ya hapo kupima ni "k" na kufa ni "k pia.
 
Mbona ww umeshikishwa mkuu...apo umeuziwa bei ghali sana usione ni cheap. Wenzako wana nunua cancer ya mapafu kwa 150 kwa sigara 1? Acha ulofa ww.
 
Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari

Juzi nilikuwa ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana flan hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata

Mm nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo(mule mule ndani lakini)

Sasa bhana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye mbooo yangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake

Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure ,la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu

Sasa bhana wakuuu ,utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane nae kitandani

Bei yake alinichaji elfu 15

elfu 5 gesti ,10 ya kwake

Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta saana yani kwa nini nilifanya vile

Roho inaaniuma yani nimenunua ukimwi kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote

Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani

NB:Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
Tena Trump kakata fedha za ARV
 
Kupima ni baada ya miezi 3.
Hata hivyo sio rahisi kivile kupata hiv.
 
Hebu tuongee kiukweli kabisa, usemapo unataka ushauri uwe wa kujenga, kujenga kwa kudanganywa! Kama hukupata VVU sawa lakini kama umepata unajua kabisa hakuna tiba!
 
Back
Top Bottom