Nahisi nimefika hatua mbaya kabisa sasa. Naombeni msaada

Utaishia kupata kansa ya koo. Sir God alitupa gegedo kwa ajili ya kazi hiyo tena alituwekea masharti mpaka tuoe sema binadamu tumejiongeza parefu mnoo!
 
Hapo kwa mlinzi wa kike NI CHAI YA TANGAWIZI
 
Wewe umerogwa..!!!!..chukua mdarasini,mkojo wa ngedere wa msanga,changanya na kitunguu saumu,ongeza na tangawizi iliyotangwa changanya na mzizi wa mkuyati,twanga,kisha chemsha kwa masaa mawili,zingatia "masaa mawili"...halafu weka mavi ya nyoka(kifutu)..uweke mchanganyo huo kwa siku tatu kisha weka juani kwa siku mbili,ukauke kabisa..tafuna,hiyo ni dozi ya wiki 3...la sivyo R.I.P in advance
 
LAANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…