Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Ahahaha.
Haya masuala huwa kama mwanamke alikua muaminifu, huwa hayaishi haraka, yan inaweza chukua muda mrefu sana maana kila kosa utamfanyianhata kwa bahat mbaya utamkumbusha machungu.
 
Safi sana mkuu!
 
Eeeh mumeo kweli huyu dear?
 
Mwanamke wa kufanya hivyo labda awe hajakuchoka tu😄 ila akikuchoka bro lazma utapikwe mazima
 
Hii yako chamtoto. Yupo jamaa mke wake hivyo hivyo aligundua pw ya simu yake.
Kibaya zaidi Kuna meseji nyingi zinamtukana huyo mkewe kwamba Ni mshamba, hajui kuiosha, hajui kupika, Hana sura etc.
Kumbuka mwanamke mtukane matusi yote atavumilia Ila ukimuita mshamba hajui kuisafisha utakua umevuka mstari.
 
Aisee kweli yangu cha mtoto , huyu mwamba aliyatimba unakuta lilikuwa linamtukana my waifu wake ili just kujirahisishia mambo kwa hayo mamichepuko si kwamba alikuwa anamaanisha
 
Sasa Hana hela halafu analeta ujinga unamvumilia ili iweje?
Baada ya mwenzio kukiri Anazo ila za mboga mkuu ukaona si vibaya avumilievumilie tu.....by the way hvi mwanaume akiwa na hela zinakuwa na impact gani kwa mwanamke....
 
Aisee kweli yangu cha mtoto , huyu mwamba aliyatimba unakuta lilikuwa linamtukana my waifu wake ili just kujirahisishia mambo kwa hayo mamichepuko si kwamba alikuwa anamaanisha
Ulivyomnafki umanikandia kwa michepuko yako ili uonewe huruma usivyo na haya unatft midday mibaya kama minimum ya kwenu
 
Una akili za kitoto yaani unamuogopa mwanamke ambaye hapo kwako wewe ndie mfalme ukitaka unamfukuza muda wowote...
Kijana nikuambie kitu hilo sio kosa hizo no tabia za wanaume rijali na mkeo hajachukia ila kapata wivu...
Chakufanya muite sehemu kaa naye mwambie iwe mwiko kushika cm yako na asijerudia tena. Na mwambie atimize majukumu yake kama mke vinginevyo hali itakuwa mbaya... Baada ya hapo mkamate mtie dudu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…