Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Ahahaha.
Haya masuala huwa kama mwanamke alikua muaminifu, huwa hayaishi haraka, yan inaweza chukua muda mrefu sana maana kila kosa utamfanyianhata kwa bahat mbaya utamkumbusha machungu.
 
Kaka,
Amani imerudi kwa kasi ya 4G kwanza sasa hvi nampenda sana mke wangu, Nawahi sana kufika home, kila siku asubuhi lazima nimsindikize kwenda kazini. Kitandani huko ndo usiseme huyu dada kaimprove sana ananipa miaka ananipa yaani, hana tena visingizio sijui nimechoka ooh tutafanya kesho yaani kifupi ni raha burdanii
Safi sana mkuu!
 
Ndio maana nimekuambia umerithi vote kwa baba yako,baba ako kama wewe alikuwa na kila kitu ila alikuwa malaya kama wewe

Natuliaje wakati nna nyege mme uko bize kuchepuka?? Usivyo na haya unanikandia kwa michepuko yako hujui wanafata hela zako tu has.....forgive but must revenge,umenizoea wewe safari hii nakulipiza
Eeeh mumeo kweli huyu dear?
 
ILIKUA MAY 12, LEO NI JULY 4, VIPI AMANI ILIRUDI AU BADO NYUMBA CHUNGU. NAOMBA KUJUA HILO.
NNACHOAMINI KULINGANA NA YALIYONIKUTA MIMI MWANAMKE HATA AKIKUKAMATA LIVE, KAMA UTAONESHA KUJUTIA KOSA LAKO NA KUMWONESHA UNAMPENDA NA KUMTHAMINI YEYE, BASI HUO UGOMVI HAUWEZI KUCHUKUA HATA SIKU TANO, LAZMA AKUSAMEHE.
MIMI ALINIKUTA LIVE... 😂😂😂
Mwanamke wa kufanya hivyo labda awe hajakuchoka tu😄 ila akikuchoka bro lazma utapikwe mazima
 
Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.

Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.

Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Hii yako chamtoto. Yupo jamaa mke wake hivyo hivyo aligundua pw ya simu yake.
Kibaya zaidi Kuna meseji nyingi zinamtukana huyo mkewe kwamba Ni mshamba, hajui kuiosha, hajui kupika, Hana sura etc.
Kumbuka mwanamke mtukane matusi yote atavumilia Ila ukimuita mshamba hajui kuisafisha utakua umevuka mstari.
 
Hii yako chamtoto. Yupo jamaa mke wake hivyo hivyo aligundua pw ya simu yake.
Kibaya zaidi Kuna meseji nyingi zinamtukana huyo mkewe kwamba Ni mshamba, hajui kuiosha, hajui kupika, Hana sura etc.
Kumbuka mwanamke mtukane matusi yote atavumilia Ila ukimuita mshamba hajui kuisafisha utakua umevuka mstari.
Aisee kweli yangu cha mtoto , huyu mwamba aliyatimba unakuta lilikuwa linamtukana my waifu wake ili just kujirahisishia mambo kwa hayo mamichepuko si kwamba alikuwa anamaanisha
 
Sasa Hana hela halafu analeta ujinga unamvumilia ili iweje?
Baada ya mwenzio kukiri Anazo ila za mboga mkuu ukaona si vibaya avumilievumilie tu.....by the way hvi mwanaume akiwa na hela zinakuwa na impact gani kwa mwanamke....
 
Aisee kweli yangu cha mtoto , huyu mwamba aliyatimba unakuta lilikuwa linamtukana my waifu wake ili just kujirahisishia mambo kwa hayo mamichepuko si kwamba alikuwa anamaanisha
Ulivyomnafki umanikandia kwa michepuko yako ili uonewe huruma usivyo na haya unatft midday mibaya kama minimum ya kwenu
 
Una akili za kitoto yaani unamuogopa mwanamke ambaye hapo kwako wewe ndie mfalme ukitaka unamfukuza muda wowote...
Kijana nikuambie kitu hilo sio kosa hizo no tabia za wanaume rijali na mkeo hajachukia ila kapata wivu...
Chakufanya muite sehemu kaa naye mwambie iwe mwiko kushika cm yako na asijerudia tena. Na mwambie atimize majukumu yake kama mke vinginevyo hali itakuwa mbaya... Baada ya hapo mkamate mtie dudu...
 
Back
Top Bottom