Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Sasa umalaya wako unatuhusu Nini sisi? Umeyatimba mwenyewe pambana nayo, unemfanyia makusudi mwenzako halafu unataka msaada? Nakushauri hivi usitoke hicho chumba Cha wageni kaa huko huko maana huna sifa ya kuwa muaminifu Kwa mwenza wako, pili kama unataka amani usisithubutu kuomba msamaha Kwa mkeo labda kama mademu uliowapiga watakuwa chini ya viwango kuliko mkeo! TATU anzisha balaa Kwa Nini mkeo kakagua simu yako
 
Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.

Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.

Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Imefika hatua mwnaume anamugopa mwanamke kiasi hiki!
Aisee mtu tumekutana ukubwani na maisha yangu haya anikoseshe usingizi!
 
Habari yako ndugu katika ufirauni
The same scenario ilimtokea jamaa yangu hapa kazini, yule mke wake akanipigia simu na kuomba nionane nae bila jamaa yake kujua, nilishtuka kidogo, nikakutana nae Sakina kuna sehemu inaitwa Leons ina garden na rooms ndani, akanieleza mkasa mzima na akasema kaondoka kwa mume wake kachukua room hapo na atakaa for a week, basi tukapata wine huku analalamika na baada ya hapo nilimlomba usiku kucha, kesho yake na siku zinazoendelea bado namlomba, ni mtamu, wamoto pia, nadhani na wewe utalombewa very soon, niamini
 
Face your problems kitendo cha wife alivyo Ku confront ukaamua kukaa kimya Na kumkwepa it shows u are a coward matatizo hayakimbiwi Na huwezi kusolve tatzo Kwa kulikimbia unatakiwa uliface
 
Mwambie akuombe msamaha kwa kosa la kushika simu yako bila ridhaa yako, na huo msamaha akuombe akiwa mbele ya wazazi wake au walezi laa sivyo usimsamehe.
 
Namshauri mkeo aanze mchakato wa kudai talaka.

Tunahitaji singo mamaz wa kutosha.

Hii ni generation ya singo mamaz na singo babaz.

Kwasababu ndo zimewashinda.
 
Habari yako ndugu katika ufirauni
The same scenario ilimtokea jamaa yangu hapa kazini, yule mke wake akanipigia simu na kuomba nionane nae bila jamaa yake kujua, nilishtuka kidogo, nikakutana nae Sakina kuna sehemu inaitwa Leons ina garden na rooms ndani, akanieleza mkasa mzima na akasema kaondoka kwa mume wake kachukua room hapo na atakaa for a week, basi tukapata wine huku analalamika na baada ya hapo nilimlomba usiku kucha, kesho yake na siku zinazoendelea bado namlomba, ni mtamu, wamoto pia, nadhani na wewe utalombewa very soon, niamini
Ul.

Ulambila wako
 
Sasa mkuu kama ndani kwako mlikuwa na amani huko nje ulifuata nini tena? Haya ndiyo makosa wanaume tunafanya, nyama ni ile ile utamaliza Bucha tu! Halafu ukute na hayo ma michepuko siyo pisi kali kuzidi mkeo!
Mkuu! Hivi kweli unaamini nyama ni ileile? Hawa ni wanawake, hivyo wako tofauti sana. I stand to be corrected.
 
Unajicomfort....jifunze kuwa repetant, watoto wako watakua stable sana. Umepanga kuachana na mishangaz ama bado bado wala ujana...???

Yote kwa yote ukishajaa majukumu utaacha hekaheka mwenyewe. I hope hautakuwa late maana ule upendo wa mwanamke utakuwa umepoa au umeisha kabisa. Kinachobak ni tittle baba flan chakula tayari..anakuheshimu lakin hakupi moyo wake tena.....treasure her, life is too short.

Babamkubwa alivyofiwaga na mke wake alisemaga if I could only push back days and treat my wife better..maybe, mambo yangekua tofauti. Mama alidhoofika kwa ugonjwa wa moyo kutokana na madhila ya baba yetu. Life is too short, hold dear to the one unamuona leo...utakumbuka hii sentensi one day...TRUST ME
Usimtishe bana, if life is too short, let him live.
 
Ukweli ni kwamba, alikuwa anajua, alikuwa anatafuta namna ya kuthibitsha tu hisia zake. Alikuwa anataka kukutana na hiko kitu ndio maana amejivuruga weee ktk kila angle.

Actually mambo mengi yanayotutokea sisi ndio responsible nayo, tunayavuta wenyewe yaje, from yeye kuolewa na wew, kuwaza una cheat ,ku cheat etc. so nature itampa matokeo kupitia a weak link ambayo ni wewe sasa. Hata mkeo akianza kupigwa nje 😁 kisa hasira ,hayo matokeo ya wewe kuyafungulia mlango ktk mind yako.

La kukushauri ni usipagawe, usi overthink, wala usianze kujitirisha huruma. Umesha haribu Chill, aman imeharibika ktk ndoa yako, isiharibike ndani yako na ww sasa, vitu vya nje ni rahisi kutengenezeka kuliko vya ndani yaani moyoni mwako.

Mkeo ana maumivu now, anafeel kudharaulika, kuonekana hatoshi, kusalitiwa niixed emotions kwa sasa. Hapo anaweza kuwa anakuona kama mbwa 🤣, ila mind U ,nani anamjua mwanamke? Ni mwanamke mwenyewe, usitake kumjua sana wala ku perfect sana njia zako, make sure usimpe stress wala self doubt zaidi, How? BE A MAN ABOUT IT, USIJITETEE ,WALA KU JUSTIFY ULICHO FANYA, BE A GOOD FATHER,FANYA MAJUKUMU YAKO ,BE A GOOD A LOVER TO HER. Linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe and rigid just chill and live.

Usibadili mfumo wako wa maisha, endelea kuwa a good man, ukienda a wrong move tu, uta trade ubaba wako, uanaume wako na hapo itakuwa a turn off kwake mazima...Usibadili mfumo wa maisha fanya majukum yako.

Ishu humu mkuu...Hizo ni hekaheka za kawaida sana kwenye ndoa,chamsingi usitie sana huruma na usichanganyikiwe sana utaharibu zaidi,she'll come around kama anakupenda na ana focus ya maisha zaidi.
 
Mkuu hii ilinikuta, kilichofata kidogo wife afe na presha aisee. Imagine kakuta picha ya mdada yuko uchi na Hadi video tumeji record tuko kitandani😂.

Alipouliza nikakwambia huyo sio mimi, Wanaume adhabu yetu huko peponi sijui itakuwa ya namna gani,😂naona moto haitoshi.
 
Back
Top Bottom