careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Mie nimehongwa gari bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot atafanya mbinu zote hata hela atanipa namie nusu saa kubwa nalainika ila baada ya happ mambo ni yaleyale yaani hata ushauri tu nikiomba hanipi ananyamaza ila yeye anaomba na ananishirikisha baadhi ya mambo yake tena magumu...hata nikiomba hela sipewi
Haya ukiacha huyo nina bwana wa kuzugia tu na ana hela lakin jaman siku nikiwa na shida kabisa imenifika hapa sipewi hela hata
Sasa najiuliza ni kuwa sina bahat kwenye hili fungu la kupendwa au ni stail yangu ya maisha? Nifanyaje? Nijibadilishe vip sasa? Nachokaaa tangu juzi nipo kwenye lundo la mawazo japo nikiwaza kidogo nashika simu najisahaulisha.