Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

Mie nimehongwa gar bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot atafanya mbinu zote hata hela atanipa namie nusu saa kubwa nalainika ila baada ya happ mambo ni yaleyale yaani hata ushauri tu nikiomba hanipi ananyamaza ila yeye anaomba na ananishirikisha baadhi ya mambo yake tena magumu...hata nikiomba hela sipewi

Haya ukiacha huyo nina bwana wa kuzugia tu na ana hela lakin jaman siku nikiwa na shida kabisa imenifika hapa sipewi hela hata
Sasa najiuliza ni kuwa sina bahat kwenye hili fungu la kupendwa au ni stail yangu ya maisha? Nifanyaje? Nijibadilishe vip sasa? Nachokaaa tangu juzi nipo kwenye lundo la mawazo japo nikiwaza kidogo nashika simu najisahaulisha.
Yani we wakupiga na makofi kabisa.
 
Siyo kwamba nadanga hata mie nina hela yangu tu lakini jaman niko na mwanaume si hata anipe heshima tu? Hata ushauri? Ndo niko natafuta hivo Wakunioa lakin sioni sijui nibak peke yangu tu niachane nao? Lakin msimamo huo sina sasa kwasabu na nyege

Acha kulia njoo kwangu nikupe huo ushauri na heshima lakini pesa sina za kumpa mtu ninazo za kunitosha mwenyewe
 
Uza gari ufungue biashara ujitegemee mwambie uyo bwana ako length lako unataka ujitegemee akupe mtaji au au akuoe kadi uuze gari upate mtaji
 
Siyo kwamba nadanga hata mie nina hela yangu tu lakini jaman niko na mwanaume si hata anipe heshima tu? Hata ushauri? Ndo niko natafuta hivo Wakunioa lakin sioni sijui nibak peke yangu tu niachane nao? Lakin msimamo huo sina sasa kwasabu na nyege
Hapo kwenye nyege ndo kwenyewe nakujw
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jakuna mwanamke furushi, hajapata tu MWANAUME wa kumuongoza vyema. Iwe ni baba, kaka au mpenzi.
Umejua nachotaka!
 
Mie nimehongwa gar bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot atafanya mbinu zote hata hela atanipa namie nusu saa kubwa nalainika ila baada ya happ mambo ni yaleyale yaani hata ushauri tu nikiomba hanipi ananyamaza ila yeye anaomba na ananishirikisha baadhi ya mambo yake tena magumu...hata nikiomba hela sipewi

Haya ukiacha huyo nina bwana wa kuzugia tu na ana hela lakin jaman siku nikiwa na shida kabisa imenifika hapa sipewi hela hata
Sasa najiuliza ni kuwa sina bahat kwenye hili fungu la kupendwa au ni stail yangu ya maisha? Nifanyaje? Nijibadilishe vip sasa? Nachokaaa tangu juzi nipo kwenye lundo la mawazo japo nikiwaza kidogo nashika simu najisahaulisha.
Unadanga waume za watu watakutreat hivyo hivyo
 
Dada waweza jitegemea?

Uko tayari kutulia?

Kama hauko tayari usitafute mchawi. Wewe ndo mwenye shida. Utakuja fika stage unajutia uliyoyafanya.

Ninae mama angu mmoja ivi. Kipindi yuko mdogo kwenye 25-35 alikuaga slayqueen sana. Kwanza shoo inaaanza alikua pisi ya kwenda. She was so beautiful hakuna hela hajala kuanzia ndogo mpaka kubwa.

Umri wake ukasonga. Akaanza kuona ramani hazisomeki. Akaona ajivute kwa Mungu. Akaenda okoka akawa anasali ibada kwa sana. Lakini humohumo kanisani bado akawa na makandokando. She didnt want to crucify her body..akaona kuubeba msalaba ni kazi akaokoka kuzuga

Umri umeenda she is now 47. She is not married but thats the least..she has no life kwa kifupi. Kutwa kucha kwa mitume from monday to sunday in the name of serving the living GOD.

Mungu hadhihakiwi dada, kile unachopanda utavuna. Yaweza chukua miaka mingi mpaka mbegu ikue. Yumkini wapanda miti. Hata iwe next ten years kama umewekeza kwelikweli utavuna. Sasa unapanda nini???ikiwa ni mti utahitaji mashine uukate sasa sijui mashine utapata wapi. Neema ingalipo dear...come to GOD HE LOVES YOU.

Atakuheshimisha, He will change you for the better.
 
Nilisoma vibaya I'd nikaona Carleen..
Nikasoma threads nikabaki nnashangaa

Hadi nimesoma tena I'd ndo kidogo nimeelewa..

Nilichoambulia ni hiyo title ya 'bwana wa kuzugia'..

Usikute wengi tunaitwa hivyo hatujijui
Kaka we acha tu,husiombe ya kukute.
 
Siyo kwamba nadanga hata mie nina hela yangu tu lakini jaman niko na mwanaume si hata anipe heshima tu? Hata ushauri? Ndo niko natafuta hivo Wakunioa lakin sioni sijui nibak peke yangu tu niachane nao? Lakin msimamo huo sina sasa kwasabu na nyege
Jibebe is the name. Maam utakuwa una attitudes sana sema mtamu. Hivyo hapendeki lakini hauachiki (nyege zikija)

Usikute huyo Bwana wa kuzugia na wewe anakuchukulia wa kuzugia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna mwanamke furushi, hajapata tu MWANAUME wa kumuongoza vyema. Iwe ni baba, kaka au mpenzi.
Teh teh! Hili furushi kubali tu yaishe! Furushi ni furushi tu haijalishi, hadi ana mtu wa kuzuga nae, but they fvck, even in fvcking watu wanazuga...dadeq!😂
 
Nilisoma vibaya I'd nikaona Carleen..
Nikasoma threads nikabaki nnashangaa

Hadi nimesoma tena I'd ndo kidogo nimeelewa..

Nilichoambulia ni hiyo title ya 'bwana wa kuzugia'..

Usikute wengi tunaitwa hivyo hatujijui
Inahitajika Akili ya ziada ...hawa viumbe sio wa kuwapa u serious Sana ...labda akishakuzalia ..
 
Back
Top Bottom