Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

Nilisoma vibaya I'd nikaona Carleen..
Nikasoma threads nikabaki nnashangaa

Hadi nimesoma tena I'd ndo kidogo nimeelewa..

Nilichoambulia ni hiyo title ya 'bwana wa kuzugia'..

Usikute wengi tunaitwa hivyo hatujijui
my chest.jpeg
 
Bora utulie tu,maana naona washatambua udhaifu wako watakuumiza sana
 
Siyo kwamba nadanga hata mie nina hela yangu tu lakini jaman niko na mwanaume si hata anipe heshima tu? Hata ushauri? Ndo niko natafuta hivo Wakunioa lakin sioni sijui nibak peke yangu tu niachane nao? Lakin msimamo huo sina sasa kwasabu na nyege
Jina lako tulina tosha kukuhukumu (Careen jibebe) hiyo jibebe ndio linakutesa. Hao mabwana ndio wanakuzibia kupata mwenza wa kukuoa
 
Inaonekana unafake sana maisha na jamaa kakustukia alafu yeye ana demu wake wa maisha ila wewe ni wakukutafuna tu siku akikuchoka anakupiga chini chakufanya rudisha hiyo gari ishi maisha halisi mwache taratibu maana utakosa mtu anayekuhitaji kimaisha na anayekupenda kweli kuliko huyo mjomba inaonekana ata akija kukuoa hautakua na furaha ya maisha
 
Kwahiyo ingekua bure ndiyo ningetritiwa vizuri eti?
Hoja ya mjumbe hapo juu.. ni kwamba wewe unafanywa kama huduma ya uber ... so waliokupa vitu wameweka kama his zao pindi wanapohitaji gawio wanakujia.

Change mentality yako kwenye vitu via mahusiano.. angalia na sauti utoayo wakati wa kuomba vitu, angalia ukiwa unasema vitu muhimu unakuwa kwenye tune gan?

Unaweza ukajiona wewe mpole ila mbele ya wateja wako waliowekeza hisa kwako una tune za sauti magufuli akiwa jukwaani hata kama unachozungumza kina hoja..

Mwombe Mungu akupe wa kufanana naye
 
Sijatapeli! Ila nachotafuta hapa ni kupendwa niFanyaje?nitriwe kama navyostahili? Nishike mmoja
Muda mwingine wanaume wengine wanawafanyia wanawake wanayoyataka....

Inatoka kwenye hisia ya upendo unakuwa kama unafanya rejesho ya benk tena ukiwa michongo ya mkopo kukwama
 
Hahaa..!!
King kama King..!

Sema ningekuwa mfupi ningelia jamani..!
inabidi ufanye kazi ya ziada ya kubadilisha picha yako kichwani kwangu.. nakuona kama mschana mmoja hivi mzuri mfupi una mwili una nywele zako huhitaji weaving, mcheshi mpenda watu ila sasa kwenye gubu... mama wee

and you are not really a nagging person ila huwezi kuacha mambo yapite hivihivi until you prove ur point.. sasa hapo ndo unapoonekana una gubu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

samee bure ila hako ndo kapicha nlikonako kuhu Mwanamwali Carleen [emoji854]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaa...!!
I wish to prove you wrong jamani ila sijui nitafanyaje..!

Ila shukrani you've made my day hakika..!
 
Mtu akininunulia gari asinipe kadi namwambia asante.nenda na gari lako ukiwa tiyari kunipa kadi utanipa gari
 
Back
Top Bottom