Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

Haha huyu huenda ni mrembo lkn mukichwa manunu ya wema yamejaa
Hahahahahah huyu dem chizi kipindi cha nyuma alikuja kutafta vidume kibabe naona sahizi kalegeza masharti uso ushaanza kuchuma kunde😅😂😂
 
Hahahahahah huyu dem chizi kipindi cha nyuma alikuja kutafta vidume kibabe naona sahizi kalegeza masharti uso ushaanza kuchuma kunde[emoji28][emoji23][emoji23]
Kuna midemu ya kupunguzia mabeberu tu, hili huwa hawalijui
 
Siyo kwamba nadanga hata mie nina hela yangu tu lakini jaman niko na mwanaume si hata anipe heshima tu? Hata ushauri? Ndo niko natafuta hivo Wakunioa lakin sioni sijui nibak peke yangu tu niachane nao? Lakin msimamo huo sina sasa kwasabu na nyege
Kama unayo Pesa kwnn uombe?
 
Mie nimehongwa gari bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot atafanya mbinu zote hata hela atanipa namie nusu saa kubwa nalainika ila baada ya happ mambo ni yaleyale yaani hata ushauri tu nikiomba hanipi ananyamaza ila yeye anaomba na ananishirikisha baadhi ya mambo yake tena magumu...hata nikiomba hela sipewi

Haya ukiacha huyo nina bwana wa kuzugia tu na ana hela lakin jaman siku nikiwa na shida kabisa imenifika hapa sipewi hela hata
Sasa najiuliza ni kuwa sina bahat kwenye hili fungu la kupendwa au ni stail yangu ya maisha? Nifanyaje? Nijibadilishe vip sasa? Nachokaaa tangu juzi nipo kwenye lundo la mawazo japo nikiwaza kidogo nashika simu najisahaulisha.
Staili ya maisha yako, anza kujitegemea!
 
Wanaonitongoza wote siwataki nayemtaka ndiyo huyo mmoja alinitongoza nikamkubalia na tuna mwaka naa lakin sasa mpaka aone nimekasirika nataka kumuacha ndiyo atanitamkia hata i love u tu..nadhni yeye ananichukulia wa kupita wakat mi namchukulia mwanaume sahihi sasa nifanyaje?
Mwambie ya moyoni mwako, asipokuelewa endelea kutafuta.
 
Hahahahahah huyu dem chizi kipindi cha nyuma alikuja kutafta vidume kibabe naona sahizi kalegeza masharti uso ushaanza kuchuma kunde[emoji28][emoji23][emoji23]
Una matatizo wewe...hebu potea kwenye uzi wangu maana nachoongea na unacholeta tofauti..
 
Sasa sisi tunamsaidia nini watati ninyi ndio anawataka? Do the needful bwana, kamwage midolari na mahaba.
Ha ha mpeni mbinu sasa,,,maana sie hatuchukui mizigo sikuhizi! Mtu ambaye hajielewi aende kwa wasiojielewa wenzie
 
Back
Top Bottom