Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

Mtu akininunulia gari asinipe kadi namwambia asante.nenda na gari lako ukiwa tiyari kunipa kadi utanipa gari
akili ya mwanaume ipo hivi..
anakupa gari kwasababu ameona kwa wakati huo unastahili kupata gari..

sasa ili kupata kadi endelea kuonesha upendo na kustahili kwako kupewa ownership ya hio gari moja kwa moja.

ukishukuru kwa kidogo ulichopewa utapata vikubwa.

sasa wewe jikute mwamba uje kun'dai kadi ya gari kwa pupa utafkiri tembo anaenda kuangusha mti.. utakosa vyote.

mapenzi yamekuja kuwa magumu sana so hata kuwaspoil tunawaspoil mdogo mdogo tena kwa akili ili tusiingie loss mkija kukengeuka huko baadae.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Jiue yaani wee unaacha kuchakarika huko unategemea kupanua miguu, uchumi wenyewe ushakua mgumu huu wanadanga hadi wake zao itakuwa wewe spea tairi
 
akili ya mwanaume ipo hivi..
anakupa gari kwasababu ameona kwa wakati huo unastahili kupata gari..

sasa ili kupata kadi endelea kuonesha upendo na kustahili kwako kupewa ownership ya hio gari moja kwa moja.

ukishukuru kwa kidogo ulichopewa utapata vikubwa.

sasa wewe jikute mwamba uje kun'dai kadi ya gari kwa pupa utafkiri tembo anaenda kuangusha mti.. utakosa vyote.

mapenzi yamekuja kuwa magumu sana so hata kuwaspoil tunawaspoil mdogo mdogo tena kwa akili ili tusiingie loss mkija kukengeuka huko baadae.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Vip mfalme wewe ushawahi kuhonga gari au nyumba?
 
Siyo kwamba nadanga hata mie nina hela yangu tu lakini jaman niko na mwanaume si hata anipe heshima tu? Hata ushauri? Ndo niko natafuta hivo Wakunioa lakin sioni sijui nibak peke yangu tu niachane nao? Lakin msimamo huo sina sasa kwasabu na nyege
Makubwa
 
Na ukumbuke hiyo gari ipo packing tu unatumikaaaa ukichokwa then gari inahamia packing ingine si hauna card
 
Wakuu nendeni Fb mkasearch careen Jibebe[emoji1787][emoji1787]Mtakachokikuta mtanishukuru.[emoji23][emoji23][emoji135]

Ee Mungu tunusuru
 
akili ya mwanaume ipo hivi..
anakupa gari kwasababu ameona kwa wakati huo unastahili kupata gari..

sasa ili kupata kadi endelea kuonesha upendo na kustahili kwako kupewa ownership ya hio gari moja kwa moja.

ukishukuru kwa kidogo ulichopewa utapata vikubwa.

sasa wewe jikute mwamba uje kun'dai kadi ya gari kwa pupa utafkiri tembo anaenda kuangusha mti.. utakosa vyote.

mapenzi yamekuja kuwa magumu sana so hata kuwaspoil tunawaspoil mdogo mdogo tena kwa akili ili tusiingie loss mkija kukengeuka huko baadae.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Asante!
 
Tatizo unataka utajiri kwa kudanga na nnakuhakikishia sehem za siri zitazeeka
 
Wewe ni miongoni mwa wanawake wapumbavu wasiostahili upendo wa mtu mwema.Hapo umekiri unagawa kwa wanaume wawili na wote unawadanganya mbaya zaidi unaonekana kuwa hauna mapenzi ya dhati bali ni tamaa ya kuhudumiwa.Nakushauri umrudie Mungu wako akupe mume wako utakayempenda kutoka moyoni na uishi kwa amani pasipo na tamaa.
 
Kwamba wewe kupendwa ni kupewa hela!!!!
Hauna kazi yako unayoifanya inayokuingizia pesa???
Haya usha pewa gari na bado una lalamika umetafuta bwana mwingine,siku wakija kukutana na wakaumizana waziri aseme hawara hafumaniwi wakti matatizo umeyatengeza mwenyewe.
Ila mnakera basi tu
 
Siyo kwamba nadanga hata mie nina hela yangu tu lakini jaman niko na mwanaume si hata anipe heshima tu? Hata ushauri? Ndo niko natafuta hivo Wakunioa lakin sioni sijui nibak peke yangu tu niachane nao? Lakin msimamo huo sina sasa kwasabu na nyege
Huwezi achana nao sababu una nyege acha kuziendekeza nyege mwanaume hakupi heshima hajui umuhimu wako labda anakutafuta akiwa na shida zake wa nini sasa huyo matatizo mengine
unajitafutia mwenyewe kama hivyo

Na shida mwanaume ukimuonyesha unampenda tu ndio shida inapoanzia
 
Back
Top Bottom