Nahisi nina matatizo

Nahisi nina matatizo

Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?
hapo red:haitatokea muoane
 
Mi nafikiri hauna tatizona kila kitu kianchotokea ni mipango ya mungu, kingine nafikiri bado hujapata wakuwa naye au wakuanza nae maisha ya ndoa, zidisha sana maombi na kuwa na imani kuwa mungu kashakuandalia wako wa kuwa nae.
 
Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?

Unayo haki ya kuogopa manke siku hizi kuna ndoa na ndoana. Labda umeshaona mkioana utaingia ktk ndoano. Usiogope. Wasiwasi ni wako bora imani. Mungu akusaidie ku-overcome hiyo hofu ya ndoano
 
kwanza napenda kukupongeza kwa kuwa muwazi;;endelea kuakaa hivyo mpaka utakapopata soln..ni ukae hivyo uje kupata utakaekuwa nae na amani kuliko hii mindoa ya sikuhizi miezi miwili vikao mara sita saba vikao tena vya nini??kaa vizuri tafuta soln..kwa msaada zaidi cont denismandia@yahoo.com ila cha kukupa moyo aijalishi mapito unayopitia muda utakaotumia Yupo Mume wako kutoka kwa Mungu anakusubiri ni wewe kuwa karibu na Mungu na jinsi gan ya kumtumikia akupe mume mwema




Nashukuru sana kwa ushauri wako, ubarikiwe
 
Strawberry 1: Nahisi kuna kitu hujatueleza. Kwa nini uogope kuingia kwenye ndoa wakati wenzako tunatinga kwa waganga kila siku vidole ving'ae? Mimi sipendi kusema kuwa una matatizo ila labda una background mbaya kuhusu ndoa. Kuna uwezekano mama yako ameteseka sana kwenye ndoa na wewe uliona, then sio rahisi upende ndoa. Inawezekana dada zako au mtu wa karibu yalimkuta. Haya yote yanaweza kumfanya mtu akachukia ndoa, unahisi kuwa yatakutokea na wewe! Sasa ka jinsi ulivyoeleza hili tatizo, huwezi kupata ushauri wa maana, kila mtu atakwambia wewe ndio mwenye matatizo, the simplest answer!

BAELEZEEEEE na mwaga radhi ili upate ushauri wa maana
 
nahic mashaka yanatokana na mtu uliyenaye. bado una mashaka nae. na kama ni hivyo huna haja ya kuingia ndoani huku una mashaka na huyo mtu. utakapompata mtu ambaye moyo wako uko radhi kuishi nae kindoa, utatuletea post tofauti hapa!
 
Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?


unaogopa kuingia kwenye mahusiano wakati tayari una boy friend? mbona hayo tayari ni mahusiano au.......
 
6 years doin the thang? It seem u satsfied with everything i mean mlikuwa mnafanya vitu vyote wanandoa wanavyofanya tatizo ilikuwa kuidhinishwa tu kuwa mume na mke na wewe inaonekana ni mkristo coz wakristo hatunaga talaka hadi ndoa itutenganishe sio kama waislam unaolewa leo talaka waenda pewa kwenye honeymoon so unahofia ukiolewa ndio basi tena km ni klabu zitakuwa haziendeki tena!
 
we endelea kukachachuliwa tu....mwisho wa siku huyo BF atakuwa keshakuchoka!!mashine ushalambishwa sasa unaogopa nini tena??ila angalia sana,isije siku unapata solution...kustuka ushagonga 36yrs age..mmh!!
 
Back
Top Bottom