strawberry1
Member
- May 7, 2011
- 35
- 6
Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri hilo ndio jibuNisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?
Halafu kama unaogopa kuingia katika mahusiano ya ndoa haya mahusiano uliyonayo sasa hivi na huyo mwenzako hauyaogopi??Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?
:dance::dance::dance:Hauko tayari bibie ukiwa tayari utaitafuta mwenyewe and i hope he will be there waiting for you!
dah! matatizo yako ni makubwa kuliko CCM.
acha nisepe