Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu.
Na si kwamba natembea na wanaume hovyo hapana ila huyo mmja niliye nae huwa namtumia haswa hamu yangu katika tendo siwez kuifananisha na kitu,mm nilidhani n kawaida lkn baada ya kuona watu ninaodate nao wanakimbia kwa sababu ya kuwa mm siridhiki eti nipo kama yule mmbwa jike aliye kwenye kipindi cha hybrid sijui..
Niliwah kupata mmja ambaye alinimudu kwa muda ila nae hatukudumu sana,yaan umekuwa n mtihani mkubwa sana kweny maisha yangu, nikijaribu kupotezea nahisi kuchanganyikiwa...nishajaribu kutafuta msaada wa kisaikolojia lkn haikusaida kitu sasa nawaza umri unayozidi kusogea itakuwaje?
halafu ukiniona uwezi kuamini kabisa jinsi nilivyo binti safi..mwenye wazo au ushauri mzuri jamn naomba aniambie na kam kuna madaktar humu karibun kwa ushauri.