Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu....
Pole kwa tatizo husika kama lilivyotajwa hapo juu pia huitwa hypersexual desire disorder. Uliyoyaeleza yote ni kweli kwani ni moja ya dalili kwa tatizo husika.
Hakuna sababu ya moja kwa moja inahusishwa na tatizo husika bali kuna vitu vingi vinahusishwa kuwa chanzo.
Kuna mambo kama:
-mapito yako ya maisha/stress
-uwezo binafsi wa kufanya maamzi.
- matatizo ya vichocheo kwenye ubongo/neurotransmitters.
-mazingira binafsi ya makuzi.
-...nk
Tiba:
-Hutegemea na chanzo
-Kuzingatia kuondoa au kudhibiti visababishi.
-Kumwezesha mhusika kuwa na maamuzi sahihi juu ya maisha yake.
-Daktari wa tiba ya afya ya akili na physician wanaweza kukusaidia sana kwenye hili. Pia kumbuka tiba yako si ya siku moja bali itahitaji kuwa na mwendelezo/sessions.
-Nakutakia matibabu mema.