Nahisi nina uraibu wa ngono

Nahisi nina uraibu wa ngono

Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu..

Na si kwamba natembea na wanaume hovyo hapana ila huyo mmja niliye nae huwa namtumia haswa hamu yangu katika tendo siwez kuifananisha na kitu,mm nilidhani n kawaida lkn baada ya kuona watu ninaodate nao wanakimbia kwa sababu ya kuwa mm siridhiki eti nipo kama yule mmbwa jike aliye kwenye kipindi cha hybrid sijui..

Niliwah kupata mmja ambaye alinimudu kwa muda ila nae hatukudumu sana,yaan umekuwa n mtihani mkubwa sana kweny maisha yangu, nikijaribu kupotezea nahisi kuchanganyikiwa...nishajaribu kutafuta msaada wa kisaikolojia lkn haikusaida kitu sasa nawaza umri unayozidi kusogea itakuwaje?

halafu ukiniona uwezi kuamini kabisa jinsi nilivyo binti safi..mwenye wazo au ushauri mzuri jamn naomba aniambie na kam kuna madaktar humu karibun kwa ushauri.
Naomba unitafute nikupatie tiba pliz usiignore

Cc Zero IQ
 
Tupia kanamba 😋😋
 
Pole sana, yaani wewe ni "nymphomaniac" kwa kizungu... Ni ugonjwa. Jaribu kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya akili.

Umejiheshimu sana kuwa na mmoja kwa wakati mmoja. Kwa kawaida "nymphomaniacs" huwa hawachagui mwanaume. Yeyote ambaye yuko tayari kukidhi haja zao huwa anakubaliwa.
Asante nitalifanyia kazi
 
unamaanisha unapend wakufanye mda wote?

au nirudi shule kwanza maana sijaelewa
 
Mzee wa maexperience nilishaga kutana na dent mmoja wa chuo wa type yako. Aisee hadi nilikuaga namkwepa siku ambazo najua nimejichokea. Siku nikiwa na ugwadu wa kufa mtu ndo nampandia aisee ni shida yule kiumbe. Anamigenye hadi anavibrate....uzuri napigaga zoezi sana so huwa nammudu vizuri ila siku nazokua nimechoka namkwepa maana hana game ndogo. Nae nahisi wengi wanamkimbiaga maana nna miaka nae tunamegana kisela na inaweza pita mwezi hatujachekiana
Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu..

Na si kwamba natembea na wanaume hovyo hapana ila huyo mmja niliye nae huwa namtumia haswa hamu yangu katika tendo siwez kuifananisha na kitu,mm nilidhani n kawaida lkn baada ya kuona watu ninaodate nao wanakimbia kwa sababu ya kuwa mm siridhiki eti nipo kama yule mmbwa jike aliye kwenye kipindi cha hybrid sijui..

Niliwah kupata mmja ambaye alinimudu kwa muda ila nae hatukudumu sana,yaan umekuwa n mtihani mkubwa sana kweny maisha yangu, nikijaribu kupotezea nahisi kuchanganyikiwa...nishajaribu kutafuta msaada wa kisaikolojia lkn haikusaida kitu sasa nawaza umri unayozidi kusogea itakuwaje?

halafu ukiniona uwezi kuamini kabisa jinsi nilivyo binti safi..mwenye wazo au ushauri mzuri jamn naomba aniambie na kam kuna madaktar humu karibun kwa ushauri.

Pole sana ndugu yangu.hilo ni tatizo.Hebu nenda waone matatibu wa masuala ya homonie.Kuna kitu kimzidi mwilini mwako.Wakishindwa kupata jawabu nenda waone watumishi wa Mungu waaminifu.Narudia watumishi wa Mungu waaminifu.Kwa sababu suala lako ni nyeti. Mungu atakuponya.
 
Asante sana nitajitahidi smzaidi
 
Mkuu kwahiyo mpaka upigwe vingapi unaridhika, vipi na backdoor pia ukipelekewa moto bado hamu haiishi???
 
Fursa hiyo.hebu ngoja Nije pm yako kwanza[emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom