Nahisi nina uraibu wa ngono

Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu....

Pole kwa tatizo husika kama lilivyotajwa hapo juu pia huitwa hypersexual desire disorder. Uliyoyaeleza yote ni kweli kwani ni moja ya dalili kwa tatizo husika.

Hakuna sababu ya moja kwa moja inahusishwa na tatizo husika bali kuna vitu vingi vinahusishwa kuwa chanzo.

Kuna mambo kama:
-mapito yako ya maisha/stress
-uwezo binafsi wa kufanya maamzi.
- matatizo ya vichocheo kwenye ubongo/neurotransmitters.
-mazingira binafsi ya makuzi.
-...nk

Tiba:
-Hutegemea na chanzo
-Kuzingatia kuondoa au kudhibiti visababishi.
-Kumwezesha mhusika kuwa na maamuzi sahihi juu ya maisha yake.
-Daktari wa tiba ya afya ya akili na physician wanaweza kukusaidia sana kwenye hili. Pia kumbuka tiba yako si ya siku moja bali itahitaji kuwa na mwendelezo/sessions.
-Nakutakia matibabu mema.
 
Aisee, mie ni kinyume chake. Yaani wifi yako huwa anashangaa inakuaje nina hamu nae muda wote. Kuna muda nikishamkanyaga naanza tena muonea huruma. Hii kitu huwa inatesa pande zote kwa anayeteseka na anayeteswa
 
Asante kwanza kwa kuelewa maana imekuwa ngumu kwa mtu kuelewa labda awe mtaalamu kdg wa haya masuala mm pia mwanzo nilishindwa kujielewa lkn baada ya kukutana na wataalamu na kunieleza kidg nmepata mwanga...kama matibabu nifanya sana n session nishaenda jama zote lakn tatizo limekuwa mm kwny kutoka imekuwa ngumu sana siku ambay ninaweza kujipa off n siku yang ya hedhi tu napo imekuwa kwa shida sana imefika wakati mpaka siamin nasfi yangu...natokajeee ilo ndo tatizo
 
Aisee, mie ni kinyume chake. Yaani wifi yako huwa anashangaa inakuaje nina hamu nae muda wote. Kuna muda nikishamkanyaga naanza tena muonea huruma. Hii kitu huwa inatesa pande zote kwa anayeteseka na anayeteswa
 
Kumbe umekwishachukua hatua! Pole sana. Ni hali inayomtesa mtu. Wala siyo hormone kama watu wanavyosema humu. Ni upande wa akili sana sana. Na wataalamu wake ni mabingwa wa maginjwa ya akili, siyo wa magonjwa ya kina mama.
 
Mtoa mada kama nishapita nae... mtoto mmoja mrefu mweusi.mwembamba😂😅😅

Anatumia zaidi mtandao wa voda...

(Natania😎😎😎)
 
Kula raha hiyo mama.Papuchi lazima ipate utamu wake kila wakati
 
Hiyo hali wenzetu wa kabila la KONDOA wanaiita KIDINDINKAMA [emoji180][emoji180] [emoji23][emoji23]
 
Inawezekana wee Ni mam baraka dad Yule anapenda kuliwa muda wote naogopa mtu wa nmna hyo
 
Nina mke wa namna hii,tena nikiwa nimechoka nalazimishwa inabid nimlizishe

Siku hz naona kuna mabinti wengi tu wenye tatizo hili,wanapenda moto kweli kweli
 
Ilifika kipindi nilitamani kujiua kila binti ananikimbia therapists wangu akaniambia mtafute mtu kama wewe muongee kwa afya ya akilini yenu


Naam leo nimekuona hapa usisite kuja pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…