Nahisi pombe hainitaki japo mimi naitaka

Nahisi pombe hainitaki japo mimi naitaka

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,312
Reaction score
1,475
Huu ndo ukweli.

Wakati mwingine tukiwa wakweli me kwa upande wangu naona kama yaweza kuwa msaada, hii kitu gambe me naipenda sana ila nimegundua kama vile yenyewe hainitaki, 99% nakuwa si mtaarabu:

Hhizi ni sababu chache za kuhisi hivyo,

1. nikilewa nakuwa muongeaji sana hadi kupitiliza wakati in fact me siko hivyo japo sio mpole.

2. kupiga simu kwa sana, hata saa sita usiku naweza kumpigia mzee wangu alafu hakuna sababu za msingi.

3. naweza ondoka home kwa lengo la kunywa bia moja nikarudi nyumbani nimekunywa kumi.

4. kutongoza hadi wake za watu, nikipiga tu bia tatu, huwa naweza kujipa ujasiri wa kwenda kumgongea mke wa mtu hata usiku ambae huenda alikuwa mpenzi wangu zamani au mchepuko tu wa kawaida afu asubh nikajuta..

5. kujipa safari zisizo na mpango. naweza kufika home nikapanga safari isiyo kuwa ya msingi.

NIMEJARIBU KUJIAPIZA SITAKUNYWA TENA HASA NINAKUNYWA NA KUFANYA TUKIO MBAYA, LAKINI BAADA YA MUDA NAJIKUTA NIMESHAKUNYWA TENA.

NIFANYEJE JAMANI ILI NIMSHINDE HUYU ADUI? NIKO SERIOUS NDUGU ZANGU.
 
Aisee, sasa usipokunywa si utaleta hasara wewe kunywa kidogo kidogo.

Kama ni castle kunywa light kama ni wine kunywa yenye alc 8% etc, ninavyokuona huna kichwa cha whisky, so ishia hapo hapo........
 
Aisee.......sasa usipokunywa si utaleta hasara...........wewe kunywa kidogo kidogo........kama ni castle kunywa light.......kama ni wine......kunywa yenye alc 8%.........etc......ninavyokuona huna kichwa cha whisky......so ishia hapo hapo........

nilishawahi kunywa castle light nikapiga 26 ndani ya masaa 5 na bado sikuona dalili za kulewa. nikaona ni hasara hata kwa pesa zangu.
 
nilishawahi kunywa castle light nikapiga 26 ndani ya masaa 5 na bado sikuona dalili za kulewa. nikaona ni hasara hata kwa pesa zangu.

Hiyo ndio nzuri.......ulikunywa crate moja na 6 juu za ziada........safi kijana........next time kunywa 52.........
 
Kama haikutaki na wewe ipige kibuti. It is possible. Mie nilishindwana nazo hangovers zilikuwa zinaniletea depression nikasema isiwe shida
 
Aisee.......sasa usipokunywa si utaleta hasara...........wewe kunywa kidogo kidogo........kama ni castle kunywa light.......kama ni wine......kunywa yenye alc 8%.........etc......ninavyokuona huna kichwa cha whisky......so ishia hapo hapo........
niliamuaa kulaa bangee tu..mbombe sio saizi yangu....
 
Usiache kunywa kwa kuwaogopa walimwengu, hawakosi la kusema hata uwe mcha mungu mpaka unalala kanisani. We chapa kilevi ujinga ukutoke.
 
Dah pombe noma, kuacha si jambo jepesi as one asiyekunywa can imagine, any way pombe ni mojawapo ya vitu viletavyo furaha kwa mnywaji wa hiyo kitu(kama mim), so jambo la kufanya ni kutafuta furaha mbadala ten halisi zaidi ya hii kitu,

engage yoself katika mambo mengine na punguza kampan za wapiga hiyo mambo, japo si rahisi kihivyo ila mim imenisaidia, nin watu wanasema 26 castle light, mim nlikuwa napig hata 35 japo si kwa mara moja, ile ya hama hama mpka panakucha, ukiamka mfukon dahaaa.

unaanza kulaani na kutoa ahadi za kuvunja ndoa na hii makitu, pata mkwanja ndoa inakuwa renewed !!! Mwana Mungu pia anahusika kama msaada wa kwanza
 
Mitungi noma, jamaa alikwenda vacation China, baada ya kufanya kila kitu alichopanga siku ya mwisho akaamua kupiga mitungi kusema bye bye China. Mitungi ilikolea mpaka akapoteza namba, akili inakuja kumrudia yuko kwenye ndege anarudi kwao, hapo pembeni kuna mtoto mdogo wa kichina anamkodolea macho, anauliza vipi hostess anamwambia huyo mwanao ulimu-adopt jana.

Pombe inakushawishi ufanye maamuzi usiyoyategemea.
 
Huu ndo ukweli.

Wakati mwingine tukiwa wakweli me kwa upande wangu naona kama yaweza kuwa msaada, hii kitu gambe me naipenda sana ila nimegundua kama vile yenyewe hainitaki, 99% nakuwa si mtaarabu:

Hhizi ni sababu chache za kuhisi hivyo,

1. nikilewa nakuwa muongeaji sana hadi kupitiliza wakati in fact me siko hivyo japo sio mpole.

2. kupiga simu kwa sana, hata saa sita usiku naweza kumpigia mzee wangu alafu hakuna sababu za msingi.

3. naweza ondoka home kwa lengo la kunywa bia moja nikarudi nyumbani nimekunywa kumi.

4. kutongoza hadi wake za watu, nikipiga tu bia tatu, huwa naweza kujipa ujasiri wa kwenda kumgongea mke wa mtu hata usiku ambae huenda alikuwa mpenzi wangu zamani au mchepuko tu wa kawaida afu asubh nikajuta..

5. kujipa safari zisizo na mpango. naweza kufika home nikapanga safari isiyo kuwa ya msingi.

NIMEJARIBU KUJIAPIZA SITAKUNYWA TENA HASA NINAKUNYWA NA KUFANYA TUKIO MBAYA, LAKINI BAADA YA MUDA NAJIKUTA NIMESHAKUNYWA TENA.

NIFANYEJE JAMANI ILI NIMSHINDE HUYU ADUI? NIKO SERIOUS NDUGU ZANGU.

Mkuu usiache endeleea kujenga nchi First Born
 
Last edited by a moderator:
Mitungi noma, jamaa alikwenda vacation China, baada ya kufanya kila kitu alichopanga siku ya mwisho akaamua kupiga mitungi kusema bye bye China. Mitungi ilikolea mpaka akapoteza namba, akili inakuja kumrudia yuko kwenye ndege anarudi kwao, hapo pembeni kuna mtoto mdogo wa kichina anamkodolea macho, anauliza vipi hostess anamwambia huyo mwanao ulimu-adopt jana...Pombe inakushawishi ufanye maamuzi usiyoyategemea,

Hahaha dah hii kali alafu ukute ndo anarud kuanza maisha
 
Bora ushukuru kukataliwa na pombe maana pombe ina mabaya mengi kuliko mazuri..
Tafuta starehe nyingine.
 
Firts born.wewe bora uungane na mimi bia zinaleta hasara sana.konyagi full mziki
 
Kunywa kimpango utakuja pigwa pipe na wake za watu!
 
Back
Top Bottom