First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Huu ndo ukweli.
Wakati mwingine tukiwa wakweli me kwa upande wangu naona kama yaweza kuwa msaada, hii kitu gambe me naipenda sana ila nimegundua kama vile yenyewe hainitaki, 99% nakuwa si mtaarabu:
Hhizi ni sababu chache za kuhisi hivyo,
1. nikilewa nakuwa muongeaji sana hadi kupitiliza wakati in fact me siko hivyo japo sio mpole.
2. kupiga simu kwa sana, hata saa sita usiku naweza kumpigia mzee wangu alafu hakuna sababu za msingi.
3. naweza ondoka home kwa lengo la kunywa bia moja nikarudi nyumbani nimekunywa kumi.
4. kutongoza hadi wake za watu, nikipiga tu bia tatu, huwa naweza kujipa ujasiri wa kwenda kumgongea mke wa mtu hata usiku ambae huenda alikuwa mpenzi wangu zamani au mchepuko tu wa kawaida afu asubh nikajuta..
5. kujipa safari zisizo na mpango. naweza kufika home nikapanga safari isiyo kuwa ya msingi.
NIMEJARIBU KUJIAPIZA SITAKUNYWA TENA HASA NINAKUNYWA NA KUFANYA TUKIO MBAYA, LAKINI BAADA YA MUDA NAJIKUTA NIMESHAKUNYWA TENA.
NIFANYEJE JAMANI ILI NIMSHINDE HUYU ADUI? NIKO SERIOUS NDUGU ZANGU.