Nahisi simu yangu kudukuliwa

Nahisi simu yangu kudukuliwa

Airtel ovyo sana sijawahi kuacha ata 500k kwa hio Airtel Money ni trash aisee Kuna Loophole kubwa sana hata matapeli wa tuma kwenye namba hii wengi ni Airtel, Wahindi Hawa kazi imewashinda
 
Airtel ovyo sana sijawahi kuacha ata 500k kwa hio Airtel Money ni trash aisee Kuna Loophole kubwa sana hata matapeli wa tuma kwenye namba hii wengi ni Airtel, Wahindi Hawa kazi imewashinda
Acha uongoo Airtel ni unaweka hata ml 60 na inakaa mnakuwa wachungu hadi airtel inawakata vat
 
Nikosa la kibinadamu, huwenda muhudumu alikosea kutag namba yako , inawezekana mteja aliyemuhudumia namba zako na zake zinafanana na kutofautiana tu kwenye code number, haya mambo yanatokea mkuu usiyawaze, mtu anaye ku track awezi acha alama Ili ugundue kua unafatiliwa.
Kuna wakati mistake hutokea, ww unahisi wale washikaji walitarajia Satva kuishi tena? Umemsikiliza kabendera namba washikaji walikamata wakawa wanajifanya customer care kilichomukoa niwashikaji kuchelewa kukata simu na wakaendelea kujadili na yeye akapata kuwasikia na kuomba msaada. Mpaka wanafika nyumbani yeye alishajaza watu ndo ikabidi wamchukuwe kuelekea kituoni. Hatimaye kakumbana na kesi ya uhujumu uchumi. Kikubwa niapply security ideology inayosema trust non except the one through the mirror. Also in order to survive at area with terrorism threats dont pick that you didn't put.
 
Back
Top Bottom