Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Mi nilianza na KVant ilikua inanipeleka hatari, mara kichwa,homa japo sijawahi kutapika. Yan ukiinywa tu unaomba wiki usimame. Niliacha nikahamia konyagi. Hii ni bonge moja la spirit. Mpk Sasa naitumia hio hio. Kama inakutatiza we kula vizuri kunywa maji ya kutosha. Konyagi haijawah kumchosha mnywaji
 
Back
Top Bottom