Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Kumbe uko mbeya, njoo JJ Njora tule vyombo[emoji482][emoji23]Mke wangu yupo mbali yeye yupo Mwanza huko mie nipo Mbeya kwaiyo ratiba ya chakula si hihingatii saana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe uko mbeya, njoo JJ Njora tule vyombo[emoji482][emoji23]Mke wangu yupo mbali yeye yupo Mwanza huko mie nipo Mbeya kwaiyo ratiba ya chakula si hihingatii saana
Msimpe stress azidi kulewa, konyagi inahitaji msosi hasa nyama choma+ ugali au kitimoto. Ale kabla ya kunywa pia maji yawepo mezani akiwa anaendelea kunywa anywe na maji pia.Figo zimeanza kuchoka
😂Utanyooka tu na bado
tupe mrejesho mkuuTangu week hii imeanza nalewa ila nikiamkaa asubuhi nakuwa kama mwili wote unauma, walevi wenzangu nisaidieni!
😀🤣🤣🤣Figo zimeanza kuchoka mkuu
Hiyo ni dalili kwamba mwili haiwezi kuhimili pombe na ukiendelea utapata matatizo ya ini kufeli achana na konyagi Mzee la sivyo utaenda indiaTangu week hii imeanza nalewa ila nikiamkaa asubuhi nakuwa kama mwili wote unauma, walevi wenzangu nisaidieni!
We lewa tu watakubaka
Inabidi aache mzeeHiyo ni dalili kwamba mwili haiwezi kuhimili pombe na ukiendelea utapata matatizo ya ini kufeli achana na konyagi Mzee la sivyo utaenda india