Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Basi eti huwa nahis unatumia pombe...duh.....!Hawa wanachekesha kweli. Rafiki zangu wengi wanakunywa ila wote wanatamani kuacha ila hawawezi. Wanatamani wawe kama mimi nakaa nao bar hadi saa mbaya na sinywi akija mgeni anaweza kujua Mimi ndio nimekunywa pombe nyingi.
Kuna uzi humu wa majuto ya walevi asubuhi hawa wanaosifia leo kule wanatamani kuacha ILA hawawezi. No self control!
Sio wewe tu wengi huwa hawaamini sinywi sasa hawaelewi nawezaje kuzurula na walevi usiku ila siku hizi nimepunguza misele.Basi eti huwa nahis unatumia pombe...duh.....!
Kuna kitu unashindwa kutofautisha kati ya mlevi na mnywaji.Ulevi ni addiction.
Hata walevi walianza kama wanywaji mpaka pake alcohol ilipokolea kwenye damu. Alcohol ikikolea kwenye damu ndio inayopelekea ulevi, usipokunywa tu unakuwa na arosto kali sana, kuipoza mpaka unywe tena.
Maisha ya Pombe yako katika stages.
1- Kama ndio unaanza, hapa hata bia zinakuwa za kuchagua. Utasikia usinywe Castle, jifunzie kwenye Serengeti Lite.
2- Stage 2, utakuwa unalewa hata bia 2 tena zenye kileo kidogo.
3- Ukiwa chronic hapa hata bia hulewi. Ili ulewe inakubidi kwenye bia uchanganye na Konyagi, K-Vant, Double kick n.k
4- Ukishafika stage ya kulewa mpaka unywe Spirits, maana yake hapo ushakuwa mlevi kamili. Hupitishi siku bila pombe. Ukinywa usiku, asubuhi unaamka na hang over dawa yake unaona ni kuzimua kwa kunywa tena konyagi.
5- Stage mbaya zaidi ni ukikosa hela: Hapa unageuka omba omba wa bia, kama ni mwanamke unaanza kumegwa kwasababu ya pombe. Ukipata buku 10, unakimbilia Konyagi za kupima, kupoza arosto.
Ukikosa pesa mpaka UGORO wa kimasai unakuhusu.
Pombe haijawahi kuwa kitu cha maana hata kidogo. Useless.
Mkuu umetusahau na sisi wavuta bangeHabari ya leo wakuu.
Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.
Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.
Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.
Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.
Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.
Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.
Pia kundi hili lina umoja.
Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.
Uzuri wa maeneo ya bar.
Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.
KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE.
Mkuu umetusahau na sisi wavuta bange
Sasa mkuu mida mibaya unatafuta nini bar na pombe hunywi? Hapo tayar kuna kilevi chako na ww [emoji23][emoji23]Hawa wanachekesha kweli. Rafiki zangu wengi wanakunywa ila wote wanatamani kuacha ila hawawezi. Wanatamani wawe kama mimi nakaa nao bar hadi saa mbaya na sinywi akija mgeni anaweza kujua Mimi ndio nimekunywa pombe nyingi.
Kuna uzi humu wa majuto ya walevi asubuhi hawa wanaosifia leo kule wanatamani kuacha ILA hawawezi. No self control!
Kuna ndugu yangu mmoja tulikutana kijijini kwetu,bas ckuhiyo akawa amejifunza kunywa pombe aliporudi home akawa analia kwa uchungu sana kitendo hicho kilifanya familia kupatwa na hofu kuuu,majirani tukasogea watu wakaanza kumuuliza unalia nn? Jamaa kasema ningekua na hela ningewajengea nyumba kubwa sana wazazi wangu,watu haaaa hilo tu ndo unalia jamaa.
Kifupi mtu mwenye hela ndo anaweza kuwa na furaha mkuu
Hahahaa mkuu bia zinanenepesha... tunakuntwa spirits tuendee kudamshi..tusiwe na mavitambi yaleee[emoji12][emoji12]!...tunaambiwa spirits zinakata wese mwilini...haha sema pombe isikuendeshe .ikikuendesha you are finished[emoji25]
Walevi wote wanatamani kuacha ila ADDICTION haiachwi kirahisi, ndio maana suluhisho walilonalo ni kupeana moyo kama hivi na kushawishi watu wengine waingie huko ili wawe kama wao.
Wanaanzisha mpaka vita , ooh mnaokunywa soda sijui nini. Mara msiokunywa pombe ni malaya.
Wakati walevi tunawajua walivyo mabingwa wa kuokota ma-barmaid wakishalewa huko Bar. Yaani Bar isiyo na mademu haipati wateja [emoji1787]
Mimi niko 31yrs, pombe haijawahi kugusa mdomo wangu na sijihisi kama kuna kitu chochote Na-MISS.
pesa za masharti zinatesa sana na unakosa furaha nazo kabisa.Hapana mkuu Wangari, sio wote wenye hela wanafuraha.. ..wengi wao wanaishi kwa hofu anytime wanahofia watachomoka na kuiacha mali.. ..wengine hupatwa na maradhi makubwa na ndio yanawafanya wakose furaha.. ..wengine madeni yamewajaa mpaka inafikia mahali wanajiuwa.. ..wengine wamepata utajiri kwa njia isiyo ya halali,.. ..Ni heri upate utajiri wa kawaida tena kwa njia ya halali, hapo utaishi maisha ya amani na furaha.. ..
Kunywa ni maamuzi siyo mkumbo, so uko sahihi kuwa na mtu kama unajielewa si lazima ufanye anachofanya kama hakijakuvutia.Sio wewe tu wengi huwa hawaamini sinywi sasa hawaelewi nawezaje kuzurula na walevi usiku ila siku hizi nimepunguza misele.
pesa za masharti zinatesa sana na unakosa furaha nazo kabisa.
ukinywa kwa kuondoa mawazo unafail, wanaoenjoy ni wale wanaokunywa kama sehemu ya maisha kama yule anayekunywa juice.Walevi huwa wanajidanganya eti ili upoteze mawazo unywe pombe.. ..ujinga mtupu..hakuna kitu kama hicho.. ..ukilewa ndio mawazo yanazidi na kupelekea kufanya upumbavu hata kummbaka mzazi/dada yako
Wapo wengi tu wanaokunywa kwa mkumbo, in fact wengi wameanza kwa mkumbo. Ushasikia kitu kinaitwa 'peer pressure' ?Kunywa ni maamuzi siyo mkumbo, so uko sahihi kuwa na mtu kama unajielewa si lazima ufanye anachofanya kama hakijakuvutia.
Sio wewe tu wengi huwa hawaamini sinywi sasa hawaelewi nawezaje kuzurula na walevi usiku ila siku hizi nimepunguza misele.
Nimeacha siku hizi, very rare nazurula usiku.Kuzurura usk nadhan nayo iwekwe kwenye addiction
Mm sikuanza kwa mkumbo....unajikuta lonely unatafuta furaha kupitia mambo kama hayo..it works thou! Mm naweza kaa 5hrs alone niko na kinywaj changu najiskia ahueni sana!Wapo wengi tu wanaokunywa kwa mkumbo, in fact wengi wameanza kwa mkumbo. Ushasikia kitu kinaitwa 'peer pressure' ?
Yaan ulichelewa kujua mkuu[emoji848]Habari ya leo wakuu.