Uko sahihi,, nafikiri wanaokunywa ndiyo walipaswa kuwa na majibu sahihi kuwa ni furaha au laa.
Lakini wanaokunywa comment zao zinaonesha kusema ukweli kuwa suala la kunywa ni lenye kuongeza furaha, marafiki na mengineyo positive.
Lakini hali imekuwa tofauti watu wasiokunywa ndiyo wanaotoa comment negagive wakati hawajuw raha au shida ya pombe.
Hata mimi ndiyo maana nilisema ninahisi kundi hili wanaenjoy maisha kuliko sisi tunaokunywa ukwaju na soda.
Sikufikia hitisho kwa 100% kwa sijaunga hoja.
Hakuna kitu kisichokuwa na madhara kama umekifanya kwa kupitiliza, Pombe siyo shida ila shida itakuwa,mnywaji anaposhindwa kujicontrol kwa suala la pombe.
Hata chakula ukila bila mpangilio utapata magonjwa na kuwa chibonge kupitiliza.