green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Tatizo la nyie wavuta bangi hua mna usela mavi.Sasa hapo hujatukuta sisi wavuta bangi, sidhani kama kuna mtu anatufikia kwa furaha[emoji1787]
Sana kama juzi nimekutana na warembo kadhaa nikawapiga round kumgusa mmoja tucheze mziki kidogo nikamshika kiuno akanisusia kumbe akinywa pombe zinamlowesha chup tukaenda piga stori kwenye gari kavaa zile gauni zao zinazoishia mapajani kukaa kwenye siti kanisusia utamu wote mnyamwezi nikalaza siti nikamsadia kukausha utete na pipe ni upendo wa kipekee kwetuWalevi ni wanafuraha sana alafu wanaupendo sana
Kama wewe ni mfuasi wa hizo dini zingine ni sawa....ila waraibu walianza kama wanaonja huku wamekunja sura[emoji37]...lkn kwa sasa hivi ndo hao unaowaona wanacheka na kufurahi[emoji482][emoji4][emoji16][emoji482] while wanakunywa.Lakini kuna dini zinasema kunywa kidogo usilewe, hivyo tuendelee kutafakari kwa kina.
Two people with different mind........kila mtu anapersonality yake boss.....wewe mwenyewe hapo ulipo huwezi kuwa katika nyakati ngumu za majonzi alafu ukajiamulia kuwa happyjiulize mbona jambo moja linabebwa kwa namna tofauti linapowapata watu wawili tofauti?
mfano unaweza ukatukanwa ukarudishia mwingine akatukanwa akasmile na kuondoka?
its just a matter of how you program your mind,siyo swala la siku moja
furaha ni maamuziTwo people with different mind........kila mtu anapersonality yake boss.....wewe mwenyewe hapo ulipo huwezi kuwa katika nyakati ngumu za majonzi alafu ukajiamulia kuwa happy
Achana nao hao wa kuzisemea nafsiUko sahihi,, nafikiri wanaokunywa ndiyo walipaswa kuwa na majibu sahihi kuwa ni furaha au laa.
Lakini wanaokunywa comment zao zinaonesha kusema ukweli kuwa suala la kunywa ni lenye kuongeza furaha, marafiki na mengineyo positive.
Lakini hali imekuwa tofauti watu wasiokunywa ndiyo wanaotoa comment negagive wakati hawajuw raha au shida ya pombe.
Hata mimi ndiyo maana nilisema ninahisi kundi hili wanaenjoy maisha kuliko sisi tunaokunywa ukwaju na soda.
Sikufikia hitisho kwa 100% kwa sijaunga hoja.
Hakuna kitu kisichokuwa na madhara kama umekifanya kwa kupitiliza, Pombe siyo shida ila shida itakuwa,mnywaji anaposhindwa kujicontrol kwa suala la pombe.
Hata chakula ukila bila mpangilio utapata magonjwa na kuwa chibonge kupitiliza.
Mahusiano ndio yanawauaga mapema nyie masoft drinksBia haileti furaha yoyote, furaha unaitengeneza mwenyewe kwa kuwa na afya nzuri, riziki ya kutosha na mahusiano mazuri na watu.