Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Huyu jamaa sijui yupogo wapi? MLEVi Mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mtu wa soda (mjaza inzi) ila naunga mkono hoja. Sisi watu wa soda tumepooza kama mkojo wa ngedere. Vikao vyetu ni nusu saa tu tumeshamaliza maongezi tunaanza kuangaliana tu hamna cha kuongea. We angalia ata harusi ikikosa pombe inavyodorora kunakua hakuna vaibu kabisa. Mi ata nikienda sehemu mfano club, yani ule mziki naona kama kero saa tano nimeshaanza kuaga!
 
Tunaomba picha yako itundikwe kwenye kaunta zote za bar
 
Mimi navyopenda mziki labda dj aniboe...lakink huwa natafuta mzuka ..alfjir ndo narudi...nimemis hayo maisha jamani
 
Drink beer to save water
 
Karibu sana, huwa ukipiga mambo yetu yakaanza kukaa sawa basi yanavuruga sensors zote zinaanza kutuma wrong signal kwa control box.... basi hapo ni full shangwe na kusahau kila shida ya dunia...
 
Join us.. then na connection pia utazipata huku kwenye soda mtaishia kuliwa pesa zenu na akina gwaji boy na yule mwampoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…