Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Ila kama kuna ukweli..last week naenda town kuna mdada akaniona akawa ananiita .niko naye kwa group fulan..sijamzoea kivile zaidi ya kuonana kwa mikutano yetu.. akaniambia huwa unakunywa? Nikqmwambia uliza swali jingine...bas akafurahi..tukakaa bar ..yaan tulikunywa wine chupa 3@14000! Yaan wine 3 ndani ya masaa 2 tumefuta...imaginr na tukala...! Hahaa lakini kwenu nyie wasoda mngetumia 3000..soda 2 na mishikak 5@200[emoji2223][emoji2223]
Kundi la soda sie mabahili sana akikununulia moja biashara kwisha tena kwa mbinde kabisa hata nyama choma hawezi kukupa ofa tena.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukinywa Pombe utam wake unatengenezwa kwenye ubongo pale inapobadili akili ya kawaida kwenda kwenye akili ya kilevi aka akili iliyochangamka, soda sasa yenyewe ni maji yenye gesi ukimaliza chupa moja tu tumbo linajaa inakukinai kabisa kuendelea na nyingine..
 
yaani unakula nyama choma na fanta orange [emoji1787][emoji1787][emoji1787] si utumbo utajifunga mkuu
Ha ha ha ha mkuu shida tu, ndiyo hivo hivo coz wadau wanasema furaha ni kuitengeneza mwenyewe so huwa tunajifariji kwa Cocacola na pepsi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kundi la soda sie mabahili sana akikununulia moja biashara kwisha tena kwa mbinde kabisa hata nyama choma hawezi kukupa ofa tena.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahaa.
.nadhan mtakua na mijengo kila mkoa🥵
 
Mkuu naona umeanza kuwatamani walevi
Sijawatamani mkuu ila nimejaribu kusema kile ninachokiona tukiwa bar, hata matangazo yao kwenye Tv yanakuwa na msisimko zaidi kuliko ya Fanta orange[emoji2359][emoji2359][emoji2359]
 
Sijawatamani mkuu ila nimejaribu kusema kile ninachokiona tukiwa bar, hata matangazo yao kwenye Tv yanakuwa na msisimko zaidi kuliko ya Fanta orange[emoji2359][emoji2359][emoji2359]
😂😂😂Sawa mkuu
 
Uko sahihi kabisa, kuna babu yangu mmoja hivi, ni mzee wa kanisa kitambo lakini kinywaji anapasha kwa staha bila shida kabisa.
unywaji unasaidia akili pubambanua namna ya kuzitafuta kihalali.......
 
Habari ya leo wakuu.

Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.

Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.

Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.

Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.

Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.

Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.

Pia kundi hili lina umoja.

Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.

Uzuri wa maeneo ya bar.

Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.

KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE.
Umechelewa sana kufaham hili kaka...
 
Back
Top Bottom