adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Taja hata sehemu tatu unazozungumzia basi. acha kugeneralize vituFuraha unajipa mwenyewe mkuu na sio lazima unywe pombe
Pombe Ina ishawishi mwingi na utumiaji wa pesa nyingi za bila mpangilio
Unalewa kila mtu Bar ni rafiki yako utafikiri mnajuana miaka kibao na unaweza hata kumlipia pombe kiasi chake
Zipo sehemu nyingi unaweza ukaenda na kufurahi bila kulewa
Kama unaona pombe ni nzuri labda ungetengeneza aina yako ya Bia na kuwauzia hao
Ni wazo tu
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app