Nahisi yule hakua mtu wa kawaida bali malaika

Nilidhani niko pekeangu dunia nzima ninaefanya huu mchongo, kumbe sasa tuko wawili..πŸ˜„πŸ˜„
Au pengine nisiowajua ni wengi zaidi ya sisi wawili.πŸ˜„πŸ˜„
Au labda hizi ni soga tuu..
 

Kabisa mkuu.
Kwanza watu wa hivu ni very strong coz wengine wakipitishwa kwenye mitihan yao wanaishia kujiua ila wao wanaendelea kupambana. hadi wanakua kama machizi.
Na mimi binafsi hakuna kitu naheshimu kama mwanaume yuko vizuri upstairs.Inavutia.
 
Aminaaaaa....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…