Nahisi yule hakua mtu wa kawaida bali malaika

Nahisi yule hakua mtu wa kawaida bali malaika

Asante ndugu mleta uzi kuna mengi tumejifunza kutokana na ushuhuda wako mzuri, lakini hapo kwenye 300x600 ni sawa na 540k sijapaelewa vizuri japo ni kweli hesabu zinaweza kunisumbua lakini najua 300x60=18000, ufafanuzi tafadhali
Kusoma na kuchambua kilichosomwa ni vitu viwili tofauti
 
Nilidhani niko pekeangu dunia nzima ninaefanya huu mchongo, kumbe sasa tuko wawili..😄😄
Au pengine nisiowajua ni wengi zaidi ya sisi wawili.😄😄
Au labda hizi ni soga tuu..
✌️✌️
 
Inamaana Kuna malaika wambea mno, ukigeuza mgongo wanakusema.
 
Mimi ni Mungu, na nakuagiza kama usipokuwa malaika na kutoa hiyo fursa kwa wenzako wa Jf kama ambavyo nilimtuma malaika wangu akupe hiyo fursa...nakuhakikishia utafirisika mwaka huu
 
Back
Top Bottom