Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hao watu wanajua aisee.!! Hao wengine sijawafatilia maybe ni zile love story zao hazinishawishi naona km kuna chai flani hivi.!Hawa wako USA huko nafikiri. Kuishi huko kunakupa mambo mengi duniani. Huko kuna utajiri mkubwa wa fikra. Huko unaweza kuwa masikini lakini ukawa na furaha ,ksbb unayoyajua kuhusu dunia yanakupa amani ya moyo. Pia ni sahihi kila mtu ana kile akipendacho.
Pia Katika wanawake 10 wa jf wakiulizwa anaewavutia humu,wanawake 9 watajaa kwa Nyani ngabu. Wanawake 7 watajaa kwa mshana jr. Wanawake 2 wataingizwa kwa kiranga. Na sababu kubwa ni mpinga uwepo wa MUNGU.
Pia kuna watu wengine humu wana uwasirishaji mzuri sana. Kama yule wa how I met my wife. Hata hiyo ya insider man anajua. Lakini muhimu kipendacho roho