- Thread starter
- #81
Huyo huyo na nataman nimuone tenaChizi maarifa alikutembelea home😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo huyo na nataman nimuone tenaChizi maarifa alikutembelea home😊
Had hapa nilipofika nna miaka 28, sina kaz, sina nyumba, sina gari ila mda huu naandakia kwa ujasiri wa hali juu kabla mwaka huu haujaisha Mungu atakua amenishangaza na viwili kati ya hvo nilivoviandika ntakua namiliki!!! Time will tell ntarud kwa ushuhuda mkubwa!!! Mungu hawezi kunizali
Alikua na ma stress kama yote.p pia ni mtu wa dharau.Dah, mdogoako kiboko aisee. Hapo hakuwa kwake, angekuwa kwake si angemmwagia maji ya moto kaka
yeahSure
Tatizo wabongo wakijua kitu kila mtu atataka afanye mwishowe wote mnadodaMimi ni Mungu, na nakuagiza kama usipokuwa malaika na kutoa hiyo fursa kwa wenzako wa Jf kama ambavyo nilimtuma malaika wangu akupe hiyo fursa...nakuhakikishia utafirisika mwaka huu
Wewe huna tofauti na yule mdada aliekuwa anamfukuza yule muokota makopo.Nimeishia njiani, mkiwa mnaleta visa virefu mjitahidi kusamaraizi.!!
Halafu ile story sijawahi kuifatilia huwezi amini.!!Wewe huna tofauti na yule mdada aliekuwa anamfukuza yule muokota makopo.
Kastory kafupi kabisa hako kanakutia uvuvi. Lakini ajabu kutwa nakuona ukiusubiria ule uzi mrefu wa kukutana na dada huyu mrembo, kwenye biashara ya ubber.
Kuna sumary nyingine ndogo zaidi ya ufupisho aliofanya hapo?. Sumary zaidi ya hapo isingeeleweka
Haaah...! Acha uvivu bwana...! Sasa humo kwenye simu kila wakati uko nayo unaperuz huwa unasomaga nini sasa?. Au ndio wewe comments ziwe fupi fupi?Halafu ile story sijawahi kuifatilia huwezi amini.!!
Ile story nilikuwa natagiwa sana na rafiki zangu so nikaona sio mbaya kuwasupport kwa kujifanya nafatilia…. Ila kiuhalisia nilikuwa natambaa na beat lao vile wanavyocomment 😹😹😹
Alisaidia mhitaji, akatajirishwa in return.Hakuna wa kutoa samari asee
😍😍😍🙏🙏Wewe huna tofauti na yule mdada aliekuwa anamfukuza yule muokota makopo.
Kastory kafupi kabisa hako kanakutia uvuvi. Lakini ajabu kutwa nakuona ukiusubiria ule uzi mrefu wa kukutana na dada huyu mrembo, kwenye biashara ya ubber.
Kuna sumary nyingine ndogo zaidi ya ufupisho aliofanya hapo?. Sumary zaidi ya hapo isingeeleweka
Thanks kwa kusumaraiz ila sijawa tajiri mkuu ila amesaidia kuongeza kipato🙏Alisaidia mhitaji, akatajirishwa in return.
Utajiri ni nini mkuu?Thanks kwa kusumaraiz ila sijawa tajiri mkuu ila amesaidia kuongeza kipato🙏
Kuna member huwa ananivutia sana mitazamo yake huyu sijawahi kuchoka kumsoma sijui ni aina ya uandishi wake na anavyopiga zile punchline zake 😹😹😹Haaah...! Acha uvivu bwana...! Sasa humo kwenye simu kila wakati uko nayo unaperuz huwa unasomaga nini sasa?. Au ndio wewe comments ziwe fupi fupi?
Kitu chochote kinacholeta furaha.Utajiri ni nini mkuu?
Hawa wako USA huko nafikiri. Kuishi huko kunakupa mambo mengi duniani. Huko kuna utajiri mkubwa wa fikra. Huko unaweza kuwa masikini lakini ukawa na furaha ,ksbb unayoyajua kuhusu dunia yanakupa amani ya moyo. Pia ni sahihi kila mtu ana kile akipendacho.Kuna member huwa ananivutia sana mitazamo yake huyu sijawahi kuchoka kumsoma sijui ni aina ya uandishi wake na anavyopiga zile punchline zake 😹😹😹
Wako watatu hawa watu hata niwakute wameandika gazeti nitajitahidi niwasome mpk nukta, napenda sana uwasilisishaji wao
Kiranga Infropreneur Nyani Ngabu hawa mabro mimi ni die fan wao na wana ngeli tamu sana sijui sababu kukaa sana abroad kumechangia.!!