Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaumee...
Yaani ishu wala sio wilaya, hata sie humu Dsm exposed spouse hakuna kabisaaaa!!!!!!!!!!! Nakuombea upate umpendae maana fazaiko la moyo si mchezo!
Huyu ni Lara1 au mwingine!!
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo ukweli hakuna xposure kabsaa.
ukipata tujuulishe pia

mwananthropolojia njoo huku.ulisema uko single ndiyo maana unawarukia mabinti wa wenzio.karibu uanze maisha na Bi mona.