Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo ukweli hakuna xposure kabsaa.