Nahitaji bank statement

Nahitaji bank statement

Weka ofa yako hapa ili usaidiwe chap, unataka kila mtu akutafute faraghani ili iweje? Kama ni muhitaji kweli weka kila kitu hapa, bank statement yenye kiasi fulani, ofa yako n.k
Mambo ya mafichoni waachie wasiojulikana
 
Hauna mahusiano mema na majirani na hata marafiki pia.
Atakuwa mtu mjinga kweli kweli atakayempa bank statement kuwa yeye ndiye utakayekuwa sponsor wake, mtu mabye humfahau background history yake. Likitokea la kutokea huko mbele akifuatwa na kuambiwa yeye ndiye sponsor hivyo anatakiwa afanye mambo a,b,c, si itakuwa kilio? Au mara pap, jamaa anakwenda kufanya ugaidi, wanaanza kufuatilia nani alim-sponsor. Mpaka waje wakuelewe utakuwa umekiona cha mtema kuni.
 
Nakushauri tu sijui unaenda embassy gani ila kama una mzee au kaka ambaye ana bank statement ni vzur ukatumia hio majina yaonekane yanafanana...uwepo uzito flani wa aliekuzamini kama unataka usiende kunyimwa visa
 
Ndio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

embu soma hapo chini nimeicopy sehemu


"Can you be denied a visa after winning the DV lottery if you don’t have a bank statement?

A bank statement is not required in order to be issued a DV visa. What is required is a rational and do-able plan for supporting yourself until you find work in the field that got you the visa in the first place. An affidavit of support (I-864) from a friend or family member who lives in the US will help, as well.
I refused several of these visas to people who had the required education, but were clueless about how they would live until they had established themselves. Several had the odd idea that they would receive free housing and groceries.
Those with skills, on the other hand, had very clear strategies and - as far as I know - succeeded from arrival"
 
Ninavyofahamu mie kuna wataalam wa hayo mambo hapo Samora jijini dar.
Pale hata ukitaka muhuri na saini ya no 1 moja unapata.
Ni hela yako tu.
Ndugu zangu wawili walishasaidiwa bank statements hapo Samora.
Wanakufanyia mchakato huo.
Matola anajua zaidi.
 
Nakushauri tu sijui unaenda embassy gani ila kama una mzee au kaka ambaye ana bank statement ni vzur ukatumia hio majina yaonekane yanafanana...uwepo uzito flani wa aliekuzamini kama unataka usiende kunyimwa visa
Ata wewe una weza kumdhamini na ana kuwa ametimiza vigezo

Muhimu ana takiwa apate kiapo cha mwanasheria kuwa wewe mwenye hiyo bank statement una msaidia kwa kumdhamini nk
 
Ninavyofahamu mie kuna wataalam wa hayo mambo hapo Samora jijini dar.
Pale hata ukitaka muhuri na saini ya no 1 moja unapata.
Ni hela yako tu.
Ndugu zangu wawili walishasaidiwa bank statements hapo Samora.
Wanakufanyia mchakato huo.
Matola anajua zaidi.
Haya ya kweli mkuu?
 
Mwaga mchuzi upewe mboga nyingine, sema shida yako nini hasa upewe michongo ya jinsi yakuitatua, kuna watu wame cross borders hayo mambo wewe waezaona big deal kumbe kwa mwenzako ni dagaa.
 
Habar wadau,

Poleni na majukumu km kichwa Cha habar kisemavyo hapo juu, nahitaji mtu wa kunidhamini bank statement kwaajili ya matumiz ya safari ya nje.

Ambapo tutakubaliana atanitoza kiasi gani?

Kwa maelezo nicheki 0683263330
Mimi pia nahitaji msaada kuhusu bank statement ya kuelekea china mwenye huwezo wa kunisaidia anicheki 0756 28 14 34
 
Anayetaka kwenda amerika na ulaya ila ana miss baadhi ya taarifa, tutafutane ila hakuna cha bure! Utachangia na utasema una miss taarifa gani

Karibu
 
Back
Top Bottom