Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

ni mwanaume mmoja tu hapa duniani ana sifa hizo si mwingine bali ni BASHITE na LE MUTUZ
 
Ukipata mwenye sifa zote hapo juu nistue
 
All the best.....tulianzaga na mbwembwe tulivyongia JFπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†...baadae tukawa wapole tu...πŸ˜†..nasubiria nione utakavyoanza kuwa mpole...πŸ˜†

Zero IQ, DJ SEPETU na baadhi ya members wamewahi kufanya session ya ku-interview members wa humu.

You are one person ambaye natamani sana kuiona interview yao, na ningekuwa na cha kuuliza pia.

Naomba uniruhusu nimwombe Zero IQ akuweke kikaangoni please.
 
Umesema unayemuhitaji sio kwa ajili ya mapenzi,... Lakini nashangaa unamtenga Gudume kwakua ameoa.. Inakuaje uhusiano wake na aina ya urafiki unaoutaka, utakuathiri vp... Nyoosha maneno tukuelewe
 
Jitathmini kwanza kiuhalisia unahitaji nini na wapi umekwama katika mahusiano baina ya jinsi, la utapata "stress" bure.

Nobody else in the world can inspire you, the way you can inspire yourself. Surprise yourself with the things you can do.
 
Of course, kasema mwenyewe anawafahamu wakongwe.

Changamoto za humu ndani unaweza kukuta unatongoza ID mbili tofauti kumbe ni mtu mmoja, anakuchora tu.

Ndiyo maana nimejikita sehemu moja tu, kwako tu.

Kwa hiyo umetulia kwangu kuepusha kutongoza ID zaidi ya mbili za mtu mmoja?
 

hapana mkuu,siwezi kufanya hivyo,lol..i am not that strong/courageous kuyaanika Maisha yangu hapa....nawapa hongera zao wote waliokuwa interviewed...lol
 
Kwa hiyo umetulia kwangu kuepusha kutongoza ID zaidi ya mbili za mtu mmoja?

Nimetulia kwako kwa sababu una kila nachokitaka kutoka kwa mwanamke.

Swala la sisi kutongoza huwa halihusiani na issue za mapenzi, sometimes tunafanya kuwapa comfort jinsia tofauti ili asijione tofauti, au tunakuwa tunatest bargaining/negotiations skills kama bado ziko active.
 
hapana mkuu,siwezi kufanya hivyo,lol..i am not that strong/courageous kuyaanika Maisha yangu hapa....nawapa hongera zao wote waliokuwa interviewed...lol

Personally kuna vitu ambavyo naamini tunavikosa kwa watu wa aina yako, professionally na morally.

Naamini kuna vitu vingi sana ukiamua ku-share ni shule tosha.

Nitakutafuta private, if you are okay with that.
 

Huo mstari wa juu πŸ‘πŸ‘

Hahahah sawa bhana endeleeni kutest ila msifanye kweli
 
Huo mstari wa juu πŸ‘πŸ‘

Hahahah sawa bhana endeleeni kutest ila msifanye kweli

Hata testing kuna muda unaachana nazo.

It's not health sometimes, kuna mtu unaweza kufanya testing halafu akachukulia kama umemaanisha na akajaa, ukijitoa unakuta umemuumiza.

Mimi binafsi nimeacha kufanya tests hizo, maana najikuta baadae naanza kuona guilty.
 
Ni kweli sio vizuri

Unatest kwa mtu ambaye alikuwa anakupenda akisubiri siku umwambie kumbe wewe unatania

Umefanya vizuri kuacha
 
Ni kweli sio vizuri

Unatest kwa mtu ambaye alikuwa anakupenda akisubiri siku umwambie kumbe wewe unatania

Umefanya vizuri kuacha

Sure, baadhi ya watu wako very emotional.

Kwa hiyo kujiepusha ndo hivyo unaacha.
 
Tuma Order China watakutengenezea hata Dozen na Tonnes Ni vigezo vyako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…