Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

hahahahaha nimeshindwa kumaliza kusoma siridi yako ngoja naenda kupark kisha narud tena
 
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.

Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda kuwa marafiki na kutaka kuwa na marafiki wenye sifa kama zao.

Nahitaji Boyfriend (rafiki wa kiume toka Jamiiforums ) awe member zaidi ya Mwaka mmoja ( ili nisome threads zake zote nimfahamu tabia yake)

Awe na sifa nyingi kama za GuDume. Mcheshi,mtu wa stories ( mimi si muongeaji napenda kusikiliza) mwenye vituko na mwenye kujiamini.gudume ana sifa za my ideal man.ila nasikia ameoa.

Awe na utulivu hata akitukanwa kama Joseverest au wakati mwingine Mshana Jr. Ingawa tatizo la mshana ni hayo mambo yake ya shirki ila kutotukana ni jambo jema.

Awe na elimu ya kuanzia Diploma at least. Mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza kiingereza. Hili nmeliona kwa GuDume na Nyani Ngabu. Napenda mwanaume anayezungumza au andika kiingereza vizuri.

Kuna mwanaume mwingine anaitwa Sodoku naye nmemsoma na kumwona anaonekana anajali familia yake na mtulivu pia napenda a man with those qualities.

Kuna mwanaume anaitwa Kiduku Lilo huyu anaonekana kuwa na pesa ila mjeuri na mwenye majidai sana.sipendi mwanaume mwenye dharau sana. Ila napenda awe anajiamini.huyu pamoja na kujiamini lakini ana dharau kwa maskini.

Napenda nipate boyfriend mwenye kufuatilia siasa pia kama anavyofanya pascal mayala anaonekana kuwa na ufaham mzuri wa siasa na kufuatilia kwa ujumla.

Mimi ni mdada ambaye nmemaliza chuo mwaka jana. Nmeajiriwa bado naishi kwa wazazi. Nina marafiki wachache sana na sijawahi kuwa na mpenzi na sihitaji kwa sasa.

Nahitaji tu marafiki wa kiume ambao nitashare nao mambo mawili matatu ya maisha hasa baada ya kujikuta napoteza marafiki wengi wa kike sababu wengi wao wanafiki na wenye wivu.

Nimeamua kutafuta marafiki wa kiume baada ya kugundua rafiki yangu wa karibu sana zaidi ya miaka mitatu kumbe amekuwa akipokea pesa kwa wanaume ili wanipate.akitumia jina langu kupata pesa kwao kama ni mimi ndo namtuma.

Nliamua kuachana naye baada ya kugundua hilo kwa wanaume zaidi ya watatu.

Sipendi ukaribu na mtu mwnye akili za kitoto.so i need somebody who is matured.anayefaham maisha na si mpuuzi au mtoto mtoto...sipendi kuwa hata karibu na mwanaume au mwanamke mwenye mdomo mchafu (matusi) kama mmoja wa member humu ndani ambaye naye nimemsoma mara nyingi akitukana au kutishia kutukana wenzie wanapompinga.

Hivyo kama utakuja na matusi sitohangaika kukujibu.napenda tuhehsimiane na kila mtu amheshimu binadamu mwenzie.

Ni hayo tu marafiki zangu.
Aiseeeeee
 
Ur standards are so high. Please come down from ur Kilimanjaro
 
Mfungo ukiisha nitafute
 
Mimi nlikua natafuta mke mwenye jina hilo la khadija na alhamdulillah nina sifa za kuwa mumeo
 
Hizo sifa ni kiboko. Halafu anakuwa rafiki tu? Mngekuwa wote mna mawazo kama yako hizi mvi zingenikuta nachukua machangudoa au nimepinda mgongo kwa punyeto. Kwa ufupi weye unamuhitaji malaika mpenzi.
 
Tatizo umeshindwa kunyoosha maelezo. ... boyfriend wapo marekani Tanzania boyfriend ni mume ambaye hamjaenda kanisani na msikitini kuidhinishwa
 
Si hivyo unavyonifanyia mara utake kwenda PM ya Bi Khadija mara msimamo wa mapenzi yetu utegemee perfomance ya Klopp....nina moyo ujue

Bora troublemaker ye kaamua aende kwa Bi Khadija sababu anajua mie niko na wewe na amechoka kushare

Siendi kokote, ndo nishafika. Huko kwa Bi Khadija nimepapenda pia, maana pamesababisha competition yangu kwako ipungue.

Nabaki hapa hapa kwako. Habari za Klopp tumeachana nazo tokea jana.
 
Back
Top Bottom