HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
bi khadija njoo tuyajenge nahisi nafit hyo nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.
Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda kuwa marafiki na kutaka kuwa na marafiki wenye sifa kama zao.
Nahitaji Boyfriend (rafiki wa kiume toka Jamiiforums ) awe member zaidi ya Mwaka mmoja ( ili nisome threads zake zote nimfahamu tabia yake)
Awe na sifa nyingi kama za GuDume. Mcheshi,mtu wa stories ( mimi si muongeaji napenda kusikiliza) mwenye vituko na mwenye kujiamini.gudume ana sifa za my ideal man.ila nasikia ameoa.
Awe na utulivu hata akitukanwa kama Joseverest au wakati mwingine Mshana Jr. Ingawa tatizo la mshana ni hayo mambo yake ya shirki ila kutotukana ni jambo jema.
Awe na elimu ya kuanzia Diploma at least. Mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza kiingereza. Hili nmeliona kwa GuDume na Nyani Ngabu. Napenda mwanaume anayezungumza au andika kiingereza vizuri.
Kuna mwanaume mwingine anaitwa Sodoku naye nmemsoma na kumwona anaonekana anajali familia yake na mtulivu pia napenda a man with those qualities.
Kuna mwanaume anaitwa Kiduku Lilo huyu anaonekana kuwa na pesa ila mjeuri na mwenye majidai sana.sipendi mwanaume mwenye dharau sana. Ila napenda awe anajiamini.huyu pamoja na kujiamini lakini ana dharau kwa maskini.
Napenda nipate boyfriend mwenye kufuatilia siasa pia kama anavyofanya pascal mayala anaonekana kuwa na ufaham mzuri wa siasa na kufuatilia kwa ujumla.
Mimi ni mdada ambaye nmemaliza chuo mwaka jana. Nmeajiriwa bado naishi kwa wazazi. Nina marafiki wachache sana na sijawahi kuwa na mpenzi na sihitaji kwa sasa.
Nahitaji tu marafiki wa kiume ambao nitashare nao mambo mawili matatu ya maisha hasa baada ya kujikuta napoteza marafiki wengi wa kike sababu wengi wao wanafiki na wenye wivu.
Nimeamua kutafuta marafiki wa kiume baada ya kugundua rafiki yangu wa karibu sana zaidi ya miaka mitatu kumbe amekuwa akipokea pesa kwa wanaume ili wanipate.akitumia jina langu kupata pesa kwao kama ni mimi ndo namtuma.
Nliamua kuachana naye baada ya kugundua hilo kwa wanaume zaidi ya watatu.
Sipendi ukaribu na mtu mwnye akili za kitoto.so i need somebody who is matured.anayefaham maisha na si mpuuzi au mtoto mtoto...sipendi kuwa hata karibu na mwanaume au mwanamke mwenye mdomo mchafu (matusi) kama mmoja wa member humu ndani ambaye naye nimemsoma mara nyingi akitukana au kutishia kutukana wenzie wanapompinga.
Hivyo kama utakuja na matusi sitohangaika kukujibu.napenda tuhehsimiane na kila mtu amheshimu binadamu mwenzie.
Ni hayo tu marafiki zangu.
Kazi kweli kweli
Basi unaonekana kingereza chako ni cha kukariri. Hivi unajua kuna Britons ambao hawajui kiingereza?I dont need to.i bet you went to read? Ha ha ha.... [emoji23][emoji23][emoji23] Ni lugha ambayo nmekuwa nayo naifahamu. Unafahamu maana ya etymological meaning? I rarely use dictionaries especially to these common words. [emoji16][emoji16][emoji16] And if i wanna use i use 21st chambers Dictionary au Oxford advanced dictionary.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo shuzi limepata mjambaji wallahi....
UmenenaBi khadija we nae paukwa pakawa, umesema huitaji mpenzi just rafiki tu, sasa unavyosema unamkubali gudume ila kaoa, wew unataka urafiki unataka mupenzi!!
Km ni urafiki tu anza na hao uliowataja maana urafiki hauna kima cha chini wala cha juu.
Kila la kheri.
Sasa unatafuta boyfriend au huhitaji mahusiano kwa sasa mbona hueleweki bibie
Rafiki hatafutwi anakuja automaticallyMkuu wewe hutaki rafiki ?
Daah Muda Wa Kujiunga Jf Umenikoshesha Hii Bahati.
Nimejiunga Leo Jf Kwa Ajiri Yako Bi Khadija. Nilikuwa Msomaji Tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Changamkia Fursa ManMkuu wewe hutaki rafiki ?
Abee. ...ujue umefanya nikapaliwa....asante lakini
Basi unaonekana kingereza chako ni cha kukariri. Hivi unajua kuna Britons ambao hawajui kiingereza?
CC. @kamtwe
Daah Muda Wa Kujiunga Jf Umenikosesha Hii Bahati.
Nimejiunga Leo Jf Kwa Ajiri Yako Bi Khadija. Nilikuwa Msomaji Tu