Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Bi khadija we nae paukwa pakawa, umesema huitaji mpenzi just rafiki tu, sasa unavyosema unamkubali gudume ila kaoa, wew unataka urafiki unataka mupenzi!!

Km ni urafiki tu anza na hao uliowataja maana urafiki hauna kima cha chini wala cha juu.

Kila la kheri.
Kizungumkuti
 
Bi khadija ngoja nkafanye research kwa hawa uliowataja kwanza afu nakuja kukushauri
 
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.

Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda kuwa marafiki na kutaka kuwa na marafiki wenye sifa kama zao.

Nahitaji Boyfriend (rafiki wa kiume toka Jamiiforums ) awe member zaidi ya Mwaka mmoja ( ili nisome threads zake zote nimfahamu tabia yake)

Awe na sifa nyingi kama za GuDume. Mcheshi,mtu wa stories ( mimi si muongeaji napenda kusikiliza) mwenye vituko na mwenye kujiamini.gudume ana sifa za my ideal man.ila nasikia ameoa.

Awe na utulivu hata akitukanwa kama Joseverest au wakati mwingine Mshana Jr. Ingawa tatizo la mshana ni hayo mambo yake ya shirki ila kutotukana ni jambo jema.

Awe na elimu ya kuanzia Diploma at least. Mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza kiingereza. Hili nmeliona kwa GuDume na Nyani Ngabu. Napenda mwanaume anayezungumza au andika kiingereza vizuri.

Kuna mwanaume mwingine anaitwa Sodoku naye nmemsoma na kumwona anaonekana anajali familia yake na mtulivu pia napenda a man with those qualities.

Kuna mwanaume anaitwa Kiduku Lilo huyu anaonekana kuwa na pesa ila mjeuri na mwenye majidai sana.sipendi mwanaume mwenye dharau sana. Ila napenda awe anajiamini.huyu pamoja na kujiamini lakini ana dharau kwa maskini.

Napenda nipate boyfriend mwenye kufuatilia siasa pia kama anavyofanya pascal mayala anaonekana kuwa na ufaham mzuri wa siasa na kufuatilia kwa ujumla.

Mimi ni mdada ambaye nmemaliza chuo mwaka jana. Nmeajiriwa bado naishi kwa wazazi. Nina marafiki wachache sana na sijawahi kuwa na mpenzi na sihitaji kwa sasa.

Nahitaji tu marafiki wa kiume ambao nitashare nao mambo mawili matatu ya maisha hasa baada ya kujikuta napoteza marafiki wengi wa kike sababu wengi wao wanafiki na wenye wivu.

Nimeamua kutafuta marafiki wa kiume baada ya kugundua rafiki yangu wa karibu sana zaidi ya miaka mitatu kumbe amekuwa akipokea pesa kwa wanaume ili wanipate.akitumia jina langu kupata pesa kwao kama ni mimi ndo namtuma.

Nliamua kuachana naye baada ya kugundua hilo kwa wanaume zaidi ya watatu.

Sipendi ukaribu na mtu mwnye akili za kitoto.so i need somebody who is matured.anayefaham maisha na si mpuuzi au mtoto mtoto...sipendi kuwa hata karibu na mwanaume au mwanamke mwenye mdomo mchafu (matusi) kama mmoja wa member humu ndani ambaye naye nimemsoma mara nyingi akitukana au kutishia kutukana wenzie wanapompinga.

Hivyo kama utakuja na matusi sitohangaika kukujibu.napenda tuhehsimiane na kila mtu amheshimu binadamu mwenzie.

Ni hayo tu marafiki zangu.
Nafikiri sasa ni wakati wanasayansi waruhusiwe kutengeneza designer babies (genetically engineered babies) ili watu walio poor socially kama huyu dada wapate wenza atleast wanaohisi wanawafaa.. nakuhakikishia "if u won't settle for less u won't settle at all"... dunia hii hakuna aliye kamilika na elimu yako hiyo by now ulitakiwa ulijue hilo, sijui huko mashule mnafanyaga manini? Kujifunza ni pamoja na kujifunza maisha, ungekua umejifunza maisha ungekua unajua kwamba lugha ya kingereza anayozungumza mwanaume haina uhusiano wowote na maisha mnayotaka kuanza pamoja.. Umesoma lakini bado ujinga mwingi...

Kwenye list yako pia ongeza, mwanaume asiyeogopa kukwambia ukweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hao wanaume wote ulio wataja kwenye thread yako ndio walitakiwa wawe wako wote maana wana sifa zote unazo zitaka,
Alafu sio mara ya kwanza kusikia wanawake wakilalamika hawataki marafiki wa kike kwa kasoro walizo nazo,
Na wengine ukiwauliza wanakwambia wana marafiki wa kiume tu sababu marafiki wa kike hawaeleweki, huo ni uhuni,
Urafiki ni chemistry nzuri mtakayo ijenga kutokana na attitude mlizo nazo, kutaka marafiki wa kiume sababu wa kike hawaeleweki, it's not a strong reason, ni kuendekeza uhuni tu,
 
Nafikiri sasa ni wakati wanasayansi waruhusiwe kutengeneza designer babies (genetically engineered babies) ili watu walio poor socially kama huyu dada wapate wenza atleast wanaohisi wanawafaa.. nakuhakikishia "if u won't settle for less u won't settle at all"... dunia hii hakuna aliye kamilika na elimu yako hiyo by now ulitakiwa ulijue hilo, sijui huko mashule mnafanyaga manini? Kujifunza ni pamoja na kujifunza maisha, ungekua umejifunza maisha ungekua unajua kwamba lugha ya kingereza anayozungumza mwanaume haina uhusiano wowote na maisha mnayotaka kuanza pamoja.. Umesoma lakini bado ujinga mwingi...

Kwenye list yako pia ongeza, mwanaume asiyeogopa kukwambia ukweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyundo ya mdomo [emoji123][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.
Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda kuwa marafiki na kutaka kuwa na marafiki wenye sifa kama zao.
Nahitaji Boyfriend (rafiki wa kiume toka Jamiiforums ) awe member zaidi ya Mwaka mmoja ( ili nisome threads zake zote nimfahamu tabia yake)
Awe na sifa nyingi kama za GuDume. Mcheshi,mtu wa stories ( mimi si muongeaji napenda kusikiliza) mwenye vituko na mwenye kujiamini.gudume ana sifa za my ideal man.ila nasikia ameoa.
Awe na utulivu hata akitukanwa kama Joseverest au wakati mwingine Mshana Jr. Ingawa tatizo la mshana ni hayo mambo yake ya shirki ila kutotukana ni jambo jema.
Awe na elimu ya kuanzia Diploma at least. Mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza kiingereza. Hili nmeliona kwa GuDume na Nyani Ngabu. Napenda mwanaume anayezungumza au andika kiingereza vizuri.
Kuna mwanaume mwingine anaitwa Sodoku naye nmemsoma na kumwona anaonekana anajali familia yake na mtulivu pia napenda a man with those qualities.
Kuna mwanaume anaitwa Kiduku Lilo huyu anaonekana kuwa na pesa ila mjeuri na mwenye majidai sana.sipendi mwanaume mwenye dharau sana. Ila napenda awe anajiamini.huyu pamoja na kujiamini lakini ana dharau kwa maskini.
Napenda nipate boyfriend mwenye kufuatilia siasa pia kama anavyofanya pascal mayala anaonekana kuwa na ufaham mzuri wa siasa na kufuatilia kwa ujumla.
Mimi ni mdada ambaye nmemaliza chuo mwaka jana. Nmeajiriwa bado naishi kwa wazazi. Nina marafiki wachache sana na sijawahi kuwa na mpenzi na sihitaji kwa sasa.
Nahitaji tu marafiki wa kiume ambao nitashare nao mambo mawili matatu ya maisha hasa baada ya kujikuta napoteza marafiki wengi wa kike sababu wengi wao wanafiki na wenye wivu.
Nimeamua kutafuta marafiki wa kiume baada ya kugundua rafiki yangu wa karibu sana zaidi ya miaka mitatu kumbe amekuwa akipokea pesa kwa wanaume ili wanipate.akitumia jina langu kupata pesa kwao kama ni mimi ndo namtuma.
Nliamua kuachana naye baada ya kugundua hilo kwa wanaume zaidi ya watatu.
Sipendi ukaribu na mtu mwnye akili za kitoto.so i need somebody who is matured.anayefaham maisha na si mpuuzi au mtoto mtoto...sipendi kuwa hata karibu na mwanaume au mwanamke mwenye mdomo mchafu (matusi) kama mmoja wa member humu ndani ambaye naye nimemsoma mara nyingi akitukana au kutishia kutukana wenzie wanapompinga.
Hivyo kama utakuja na matusi sitohangaika kukujibu.napenda tuhehsimiane na kila mtu amheshimu binadamu mwenzie.
Ni hayo tu marafiki zangu.
Hili ni shairi/Poem sio Thread.
 
nmechelewa first seat ya huu uzi...ilitakiwa nikae kwa frontiers mbele kabisaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee kwa hiyo sisi wengine huoni michango yetu kweli? Zero iq vipi huoni, bas ata Ndege John
 
innalilaaaaah wainalilaah rajun.................Bi khadija,jinaa lenye maana kubwa.ramathan karim..........
 
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.

Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda kuwa marafiki na kutaka kuwa na marafiki wenye sifa kama zao.

Nahitaji Boyfriend (rafiki wa kiume toka Jamiiforums ) awe member zaidi ya Mwaka mmoja ( ili nisome threads zake zote nimfahamu tabia yake)

Awe na sifa nyingi kama za GuDume. Mcheshi,mtu wa stories ( mimi si muongeaji napenda kusikiliza) mwenye vituko na mwenye kujiamini.gudume ana sifa za my ideal man.ila nasikia ameoa.

Awe na utulivu hata akitukanwa kama Joseverest au wakati mwingine Mshana Jr. Ingawa tatizo la mshana ni hayo mambo yake ya shirki ila kutotukana ni jambo jema.

Awe na elimu ya kuanzia Diploma at least. Mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza kiingereza. Hili nmeliona kwa GuDume na Nyani Ngabu. Napenda mwanaume anayezungumza au andika kiingereza vizuri.

Kuna mwanaume mwingine anaitwa Sodoku naye nmemsoma na kumwona anaonekana anajali familia yake na mtulivu pia napenda a man with those qualities.

Kuna mwanaume anaitwa Kiduku Lilo huyu anaonekana kuwa na pesa ila mjeuri na mwenye majidai sana.sipendi mwanaume mwenye dharau sana. Ila napenda awe anajiamini.huyu pamoja na kujiamini lakini ana dharau kwa maskini.

Napenda nipate boyfriend mwenye kufuatilia siasa pia kama anavyofanya pascal mayala anaonekana kuwa na ufaham mzuri wa siasa na kufuatilia kwa ujumla.

Mimi ni mdada ambaye nmemaliza chuo mwaka jana. Nmeajiriwa bado naishi kwa wazazi. Nina marafiki wachache sana na sijawahi kuwa na mpenzi na sihitaji kwa sasa.

Nahitaji tu marafiki wa kiume ambao nitashare nao mambo mawili matatu ya maisha hasa baada ya kujikuta napoteza marafiki wengi wa kike sababu wengi wao wanafiki na wenye wivu.

Nimeamua kutafuta marafiki wa kiume baada ya kugundua rafiki yangu wa karibu sana zaidi ya miaka mitatu kumbe amekuwa akipokea pesa kwa wanaume ili wanipate.akitumia jina langu kupata pesa kwao kama ni mimi ndo namtuma.

Nliamua kuachana naye baada ya kugundua hilo kwa wanaume zaidi ya watatu.

Sipendi ukaribu na mtu mwnye akili za kitoto.so i need somebody who is matured.anayefaham maisha na si mpuuzi au mtoto mtoto...sipendi kuwa hata karibu na mwanaume au mwanamke mwenye mdomo mchafu (matusi) kama mmoja wa member humu ndani ambaye naye nimemsoma mara nyingi akitukana au kutishia kutukana wenzie wanapompinga.

Hivyo kama utakuja na matusi sitohangaika kukujibu.napenda tuhehsimiane na kila mtu amheshimu binadamu mwenzie.

Ni hayo tu marafiki zangu.
Nisome na mm basi Kama nafaa niambie elimu yangu darasa la saba, English ya kuombea maji
 
Wewe kwa nini hunijui?
 
Nyie ndo wale kwenu baba zenu waliweka tangazo nje..
HATARI KUNA MBWA MKALI!

Sasa muda umetembea mmeweka bango nje TUNAUZA ICE CREAM hapa..

Utasubiri sanaaaa

Bando ni langu sio lazima uelewe
 
Back
Top Bottom