Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Mmh , anasema ana 20+ halafu id yake ni Bi hadija

I can smell something here...
 
Nikwambie kitu dear, huwezi kupata mwanaume mwenye sifa zote hizo wote walikufa vita vya pili vya dunia, ndio maana hapo umemtaja Wa kuitwa gudume, joseverest, pascal sio mtu mmoja huyo . Hapo chagua mmoja kutokana na tabia uliyompendea halafu mapungufu utamvumilia.
Mkuu usmkatishe tamaa bana amesema anataka just a friend angekuwa mpenzi ingekuwa ngumu kizuri ni kuwa rafiki wa mtandaoni si lazima muonane mnaweza kufake life na kuishi vile rafiki yako atakavyo na mkafurahia maisha
 
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.

Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda kuwa marafiki na kutaka kuwa na marafiki wenye sifa kama zao.

Nahitaji Boyfriend (rafiki wa kiume toka Jamiiforums ) awe member zaidi ya Mwaka mmoja ( ili nisome threads zake zote nimfahamu tabia yake)

Awe na sifa nyingi kama za GuDume. Mcheshi,mtu wa stories ( mimi si muongeaji napenda kusikiliza) mwenye vituko na mwenye kujiamini.gudume ana sifa za my ideal man.ila nasikia ameoa.

Awe na utulivu hata akitukanwa kama Joseverest au wakati mwingine Mshana Jr. Ingawa tatizo la mshana ni hayo mambo yake ya shirki ila kutotukana ni jambo jema.

Awe na elimu ya kuanzia Diploma at least. Mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza kiingereza. Hili nmeliona kwa GuDume na Nyani Ngabu. Napenda mwanaume anayezungumza au andika kiingereza vizuri.

Kuna mwanaume mwingine anaitwa Sodoku naye nmemsoma na kumwona anaonekana anajali familia yake na mtulivu pia napenda a man with those qualities.

Kuna mwanaume anaitwa Kiduku Lilo huyu anaonekana kuwa na pesa ila mjeuri na mwenye majidai sana.sipendi mwanaume mwenye dharau sana. Ila napenda awe anajiamini.huyu pamoja na kujiamini lakini ana dharau kwa maskini.

Napenda nipate boyfriend mwenye kufuatilia siasa pia kama anavyofanya pascal mayala anaonekana kuwa na ufaham mzuri wa siasa na kufuatilia kwa ujumla.

Mimi ni mdada ambaye nmemaliza chuo mwaka jana. Nmeajiriwa bado naishi kwa wazazi. Nina marafiki wachache sana na sijawahi kuwa na mpenzi na sihitaji kwa sasa.

Nahitaji tu marafiki wa kiume ambao nitashare nao mambo mawili matatu ya maisha hasa baada ya kujikuta napoteza marafiki wengi wa kike sababu wengi wao wanafiki na wenye wivu.

Nimeamua kutafuta marafiki wa kiume baada ya kugundua rafiki yangu wa karibu sana zaidi ya miaka mitatu kumbe amekuwa akipokea pesa kwa wanaume ili wanipate.akitumia jina langu kupata pesa kwao kama ni mimi ndo namtuma.

Nliamua kuachana naye baada ya kugundua hilo kwa wanaume zaidi ya watatu.

Sipendi ukaribu na mtu mwnye akili za kitoto.so i need somebody who is matured.anayefaham maisha na si mpuuzi au mtoto mtoto...sipendi kuwa hata karibu na mwanaume au mwanamke mwenye mdomo mchafu (matusi) kama mmoja wa member humu ndani ambaye naye nimemsoma mara nyingi akitukana au kutishia kutukana wenzie wanapompinga.

Hivyo kama utakuja na matusi sitohangaika kukujibu.napenda tuhehsimiane na kila mtu amheshimu binadamu mwenzie.

Ni hayo tu marafiki zangu.
Kama una chura umenipata ila kwa urafiki tu sitaki zaidi..!
 
Mkuu usmkatishe tamaa bana amesema anataka just a friend angekuwa mpenzi ingekuwa ngumu kizuri ni kuwa rafiki wa mtandaoni si lazima muonane mnaweza kufake life na kuishi vile rafiki yako atakavyo na mkafurahia maisha
Mkuu mimi ni mtu mzima ,najua hitaji la Bi khadija ingawaje kazunguka.
 
Unatumia kinywaji gani mkuu?[emoji3][emoji3]
Ni kweli..mwanamke aliyetulia hapekui pekui sifa za wanaume kibao..anaangalia mwanaume mmoja then anam badilisha awe jinsi atakavyo hiyo ni POWER OF LOVE...ila huyu anaonyesha hata akimpata mwenye sifa Anazotaka kesho akiamka atasema mengine nataka Mrefu au Mweupe...au yani ukiona mwanamke/mwanaume Chambua Chambua kama huyu bidada kwa kisingizio cha ANATAFUTA WA KUENDANA NAE sifa zao ni VIBURI.

Mdada/Mkaka wa type hii huwa wanajionaga wao ni wazuri wamekamilika so hawahitaji mtu tofauti na wao ndio mana masharti yamewajaaa,Hawajui Mapenzi sababu wanahisi wao ni malaika wanataka wafanyiwe kila kitu,hawajui kujishusha Wanapokosea.

Type hii ya mdada/mkaka hutafuta mpenzi only for Show OFF ukitaka gundua hilo soma THREAD ya huyu mdada utagundua anachotafuta sio Rafiki ila ni mtu wa Kuringishia wenzake..eti "awe anaongea English vizuri" lugha ya mtu inahusiana nini na urafiki wenu? wewe tushajua unachotafuta.

Kwa ufupi Thread yako nzuri ila hata hao ulowataja sidhani kama wanataka type of YOU...Sifa yako 1 tu niliyogundua unayo ni "Ujasiri wako wa kujielezea hata kama ni Pumba"
 
Nahitimisha kwa kusema Hakuna Binadamu Alie Kamilika pia Ni Ngumu Kupata Sifa Zote Uzitakazo Kwa Mtu Mmoja. nikiwa Na Maana Kwamba Unaweza Kumpata Mcheshi Ila Ni Mwizi, Ukamkuta Mwenye Elimu Zake Na Pesa Juu Ila hapendi Masihara Kutwa Ni Mtu Wa Sura Mbuzi.

Nb. Ukikuwa Utaacha.
 
UKIKUWA 😳😳 = UKIKUA.

Nahitimisha kwa kusema Hakuna Binadamu Alie Kamilika pia Ni Ngumu Kupata Sifa Zote Uzitakazo Kwa Mtu Mmoja. nikiwa Na Maana Kwamba Unaweza Kumpata Mcheshi Ila Ni Mwizi, Ukamkuta Mwenye Elimu Zake Na Pesa Juu Ila hapendi Masihara Kutwa Ni Mtu Wa Sura Mbuzi.

Nb. Ukikuwa Utaacha.
 
MNANCHOKOZA HALAFU MNATOLEANA POVU LA NINI 😡😡😡😡
TUWAACHE ALIOWA-TAG HALAFU................MDOGOMDOGO
TUNASOMA COMMENTS KIMYAKIMYA😎😎😎😎
 
Mwanaume hapewi vyote.
Ushauri.
Date na kila mwenye sifa unazotaka.
Na maanisha tafuta mwanaume mcheshi.
Tafuta na anayejua kingereza.
Tafuta na ambaye ni mwelewa.. Nk
Hapo ukiwajumlisha wote kwa pamoja utakuwa umeshapata unachokizungumzia
Hata hivyo "sehemu za siri ndizo zitakazoumia". (Sijui lakini)
Natamani haya mawazo yako yawafikie wanawake wote duniani. Utakuwa mtu makini sana.
 
Eti kuna mwanajf humu ndani anayetishia watu kuwatukana acha unafiki hapo wewe mwenyewe huna sifa yeyote wala nini kazi kujishaua tu uonekane wa muhimu.
Humu utatafuta sana utaliwa sana mwisho wake wanaume hawatafutwi na risala wanaume wanaume wanakuja wenyewe.
Kama mzuri sana ungeolewa 18 ila wewe ni umiza kichwa tu kama wengine.
 
Hata Huyo rafiki yako utakayempata basi awe na moyo wa ziada. Maana sidhani kama unashaurika
 
Chukua embassy au portsman anza kuvuta nakuja kulipia mimi mwenyewe....nikichelewa vuta Balimi Gharama juu yangu..POINT kubwa.
Mkuu situmii kabisa hayo mambo!! Marijuana nayo nimestaafu mwaka wa pili sasa!! Labda bavaria, nitagida jioni baada ya futari.
 
Back
Top Bottom